Home
Unlabelled
Sherehe ya kitaifa enzi za mkapa, neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni wakuu wa Majeshi: Sarakikya, Mwita Kiaro, Mboma mkuu wa majeshi Uganda, Jakaya Kikwete
ReplyDeleteKutoka Kushoto: General Mirisho Sarakyikya (CDF wa kwanza wa JWTZ), General Mwita Kiara, General Robert Mboma, General David Msuguri, Luteni Kanali Jakaya Kikwete, General Mwita Marwa.
ReplyDeletekwa mbali namuona rais wangu mhe Jakaya M kikwete.
ReplyDeleteNi wakuu wa Majeshi: Mirisho Sarakikya (1964-1972),alisoma Sandhurst Academy ya UK, akapandishwa kutoka cheo cha kapteni baada ya maasi ya 1964 had Brigadia akawa mkuu wa majeshi, then akawa meja jenerali kabla ya kwenda kwenye siasa za kuteuliwa. Alipokuwa amestaafu akapandishwa cheo na Mkapa kuwa jenerali kamili ili alingane na ma CDF wengine.
ReplyDelete2. Jen. Mwita Kiaro (1988-1994) alipanda vyeo bila kupigana vita vya Uganda.
3. Jen. Mboma (1994-2000) alikuwa Brigadia wakati wa vita vya Uganda aakiwa pia mkuu wa kikosi cha anga kabla ya kuwa CDF.
Mwisho ni Luteni Kanali Jakaya Kikwete. Alikuwa mwanajeshi mwanasiasa, kwani alikuwa anapandishwa vyeo huku akiwa ni katibu wa CCM.Hajawahi kushiriki mambo yoyote ya kijeshi, iwe kupigana Uganda, Msumbiji wala kufanya manubaz ya kijeshi.
Wakuu wa Majeshi wastaafu: Kuanzia kushoto Gen. sarakikya, Ernest Miwta Kiaro, Robert Mboma, David Msuguri, Jakaya Kikwete (Foreign Minister), Mwita Marwa na Sir George Clement Kahama ( Minister Ushirika)
ReplyDeleteMajina na vyeo vyao vilibandikwa nyuma ya viti walivyokalia.
ReplyDeleteNI WAKUU WA MAJESHI WASTAAFU,
ReplyDeleteKWANZA KUSHOTO NI SARAKYA,MWITA KWARO,ROBERT MBOMA NA MSUGURI MWINGINE NI MHE JK
mdau CM
Eee bana ee! Hawa jamaa wangevaa manyota yao hapo pange meremeta kiaina
ReplyDeleteJenerali Sarakikya, Jenerali Musuguri,Jenerali Mboma ,Jenerali wa Uganda,Jenerali Kikwete,Jenerali Mwita Maranya!!!!
(Siku hizo Jenerali Mithupu bado mchanga)