MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA

Tunapenda kuwafahamisha Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwamba kuanzia Tarehe 01/05/2010 Ofisi ya Kanda ya Mashariki iliyokuwa katika Jengo la Life House, itahamishiwa Upanga, Mtaa wa Magole Kitalu Namba 141 mkabala na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (NGOME) na Hospitali ya Tumaini

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Imetolewa na:

Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Taifa wa Bima ya S.L. P 11360
Kurasini Bendera Tatu
Dar Es Salaam
Simu Na: 2133964/9

email: www.nhif.or.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Annet Killian Tehe tehe!!!

    ReplyDelete
  2. Balozi asante kwa taarifa.
    Pale city centre pamejaa sana inabidi taasisi zianze kusogea nje kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...