Home
Unlabelled
yale yaleeeee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, ina maana hukuangalia mechi yetu na Benifica? Mbona hata huwapi vidonge vyao hao jamaa zako?
ReplyDeleteNina wasiwasi na mapenzi yako hapo BWAWANI siku hizi!
Na huko Mbeya uko msibani au unasaidia wauza mazao sokoni kutangaza biashara zao? Mimi sikuelewi kabisa .
Wewe unataka sisi tukale wapi? Hujui hii ni sehemu ya zile ajira milioni moja tulizoahidiwa? Funga domo lako kabla sijamleta mnajimu wetu huko huko uliko. ....mbafu wee!
ReplyDeleteNa utata zaidi upo hapo unapoangalia risiti yote imeandikwa kiswahili isipokuwa pale panapohusu chaji zenyewe ndio kimeangushwa kiingilishi. Tanzania tambarare!!!!
ReplyDeleteTatizo ni nini?? Hatuelewi nini malengo yako mdau!!
ReplyDeleteSasa uko Mbeya, umeegesha gari Mbeya, umepewa risit ya Mbeya, unacholalamika nini, watu wengine wambeya kwelikweli !!
ReplyDeletemdau wa Fri Apr 09, 03:23:00 PM na wa Fri Apr 09, 03:29:00 PM ingilishi inawapiga chenga sana?
ReplyDeleteJamaa amepigwa risiti ya mabasi ilhali yeye ana gari. tiketi inasema kabisa kuwa basi lenye kuchukuwa watu chini ya 20. au mnasema kuwa tanzania gari pia huitwa bus (basi)?
acha kutuzuga wee! ina maana kulipi PAKINGI mbeya ni bei kubwa kuliko Dar? wewe naona umeokota tu hiyo au mtoaji amechanganyikiwa tu,kwani binaadamu kufanya makosa ni kawaida...sasa mbona hukumrudishia au kumuuliza kulikoni!! acha fix wewe!! najua hutoiweka hii comment.lakini ujumbe sent ...!~
ReplyDeletekama watanzania mentality zetu ni kama za huyu anon wa Fri Apr 09, 09:08:00 PM tutafika wapi?
ReplyDelete