ankal eeee,
afadhali umekuja mbeya na hii sinema imetokea leo, kama ilivyotokea eapoti ya dar kuwa na risiti ya sumbawanga. mie nna baluni lakini hii ndio risiti niliyopewa ya kuegesha magari. hapa kweli pana usalama kwel??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kibwengo, ARUSHAApril 09, 2010

    Ankal, ina maana hukuangalia mechi yetu na Benifica? Mbona hata huwapi vidonge vyao hao jamaa zako?
    Nina wasiwasi na mapenzi yako hapo BWAWANI siku hizi!
    Na huko Mbeya uko msibani au unasaidia wauza mazao sokoni kutangaza biashara zao? Mimi sikuelewi kabisa .

    ReplyDelete
  2. Digrii Feki, Ilala Boma DsmApril 09, 2010

    Wewe unataka sisi tukale wapi? Hujui hii ni sehemu ya zile ajira milioni moja tulizoahidiwa? Funga domo lako kabla sijamleta mnajimu wetu huko huko uliko. ....mbafu wee!

    ReplyDelete
  3. Na utata zaidi upo hapo unapoangalia risiti yote imeandikwa kiswahili isipokuwa pale panapohusu chaji zenyewe ndio kimeangushwa kiingilishi. Tanzania tambarare!!!!

    ReplyDelete
  4. Tatizo ni nini?? Hatuelewi nini malengo yako mdau!!

    ReplyDelete
  5. Sasa uko Mbeya, umeegesha gari Mbeya, umepewa risit ya Mbeya, unacholalamika nini, watu wengine wambeya kwelikweli !!

    ReplyDelete
  6. mdau wa Fri Apr 09, 03:23:00 PM na wa Fri Apr 09, 03:29:00 PM ingilishi inawapiga chenga sana?

    Jamaa amepigwa risiti ya mabasi ilhali yeye ana gari. tiketi inasema kabisa kuwa basi lenye kuchukuwa watu chini ya 20. au mnasema kuwa tanzania gari pia huitwa bus (basi)?

    ReplyDelete
  7. acha kutuzuga wee! ina maana kulipi PAKINGI mbeya ni bei kubwa kuliko Dar? wewe naona umeokota tu hiyo au mtoaji amechanganyikiwa tu,kwani binaadamu kufanya makosa ni kawaida...sasa mbona hukumrudishia au kumuuliza kulikoni!! acha fix wewe!! najua hutoiweka hii comment.lakini ujumbe sent ...!~

    ReplyDelete
  8. kama watanzania mentality zetu ni kama za huyu anon wa Fri Apr 09, 09:08:00 PM tutafika wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...