Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2010

    Hili dafu mbona linaporomoka tena.. kaa Zimbabwe?
    Mdau, Boston, U.S.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2010

    BOT na nyie mpo kwenye uchaguzi?hii trend ya Dola inaelekea pabaya january 1st ilikua 1 Usd = Tshs 1365 selling,leo hii 1 Usd = Tshs 1515!
    Please BOT do your home work.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 25, 2010

    Uchokozi huo..

    Halafu, no Riyal, nothing.. Why??

    Bye just now.. Seriosly..

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 25, 2010

    Sasa mjomba wangu Mkullo, hebu toeni kastatement basi kakuwapoza wadau na wananchi maana huu mporomoko wa shillingi hausimami leo wala kesho.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 25, 2010

    Hii ndio tabu ya kuwa na wafanyabiashara wahindi, wakisikia uchaguzi tuu wanaanza kukusanya dola ili kusikilizia maana kikiwaka tu wao haoooo mbio, wanawaachia nchi yenu na makapi, saahizi wanazikusanya na kuzificha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2010

    ....hodi!.....hodi!....hodi! vipi jamani wenyewe mpo? wenyenyumba jamani mpo? sijui wako bize na kuandika ilani mpya ya chama!...hakuna anaitikia!mmmmmmh....aaaah, haya yetu macho.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2010

    Michu bado unavihela vyako niniunaendelea kuvichange huko Bongo?Kila wiki unachange ka pauni kumi kako maridaadi mwenyewe!!Wacha wee!
    Ndio maana unafanya window shopping kila duka!!mpaka ulambe dume

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 25, 2010

    Mimi naamini wafanyabishara wote makini sasa hivi hawawezi kufanya biashara kwa kiwango cha juu, sababu ni wasiwasi wa kupata hasara kubwa. Hivyo siyo 'wahindi' tu bali wafanyabishara wote wakubwa hata 'wamatumbi' n.k

    Hata Uingereza wakati wa hatihati ya sintofahamu je itaundwa serikali ya mseto au Brown atangangania madaraka kwa kisingizio cha katiba, paundi sterling iliyumba na soko la mitaji pia lilikuwa mashakani!

    Kwa nchi za kiafrika kama Tanzania n.k ndiyo kabisaaa, wafanyabishara sasa 'wanabanwa' kuchangia, 'kusaidia', 'kuimarisha' vyama vya 'wanasiasa' mbalimbali, hivyo lazima biashara iwe ktk hali ya 'mdororo'.

    Hali ndiyo hiyo, hivyo wanasubiri baada ya miezi sita yaani kufikia Desemba 2010 watapata uhakika kama waendelee bishara 'fulu muziki' au la.

    Wenzetu Marekani na Ulaya ni suala la wafanyabiashara, mabenki, soko la mitaji ni kusubiri wiki moja tu baada ya siku ya uchaguzi kujua mustakabali wao.

    Huku Afrika inaanza miezi minne kabla ya uchaguzi ongeza miezi miwili baada ya uchaguzi. Biashara haina kabila wala rangi hasahasa biashara kubwa kubwa.

    Mdau
    Kariakoo Shimoni.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 25, 2010

    yaani CRDB mpk leo hii hawana live display board wanatumia ubao na peni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...