Matukio ya uharamia ya utekeji nyara wa meli bahari ya Hindi karibu na Tanzania, unaofanywa na maharamia wa Kisomali, yanazidfi kupamba moto,
Baada ya ile meli ya Uingereza kuwatimua wiki iliyopita, na meli nyingine kuvamiwa majuzi, leo meli ya Mafuta ya Ufaransa imevamiwa.
Kwa mujibu wa ripota wa kipelelezi wa Globu ya Jamii, Balozi wa Ufaransa atazungumza na Waandishi wa habari kesho Saa 6:30 mchana jijini Dar akisindikizwa na mabalozi wa Uingereza, Ujerumani, Uholanzi na Jumuiya ya Ulaya.
Hii inanikumbusha pale US Blogger alipomuita John Mashaka political pirate.
ReplyDeleteUS Blogger original yuko wapi jamani?