Home
Unlabelled
DIANA NA CHRISTOPHER MWAKASEGE KUUNGURUMA COLUMBUS, OHIO, JUMAMOSI HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Diana na Christopher Mwakasege, Mungu awabariki sana katika huduma yenu. Hakika katika jina la Yesu wengi wanapokea uponyaji na kufunguliwa! Mimi binafsi kwa kufuata masomo yako kwa njia ya mtandao, nimemuona Mungu kwa namna ya pekee. Mungu azidi kuwainua katika huduma yenu.
ReplyDeletehaleluya watumishi Mungu awalinde na kuwatumia kama Yeye apendavyo,ili roho za watu zipone
ReplyDeletebarikiwa
Shalom.
ReplyDeleteWatumishi waaminifu wa BWANA MUNGU WETU YEHOVA na Yesu Kristo mwokozi wetu, namshukuru MUNGU wetu kwa ajili yenu; kazi mnayoifanya ni kubwa mno. Ni maombi yangu kwamba MUNGU wetu azidi kuwalinda, awatee and awapiganie. Msichoke wala msifadhaike kwani tuko nyuma yenu tukiwaombea na ROHO Mtakatifu yu pamoja nanyi akiwaongoza. Watu wengi pamoja na mimi tumebarikiwa na mafundisho yenu tunayo pata kwa kuhudhuria mikutano na hata kwa njia ya mitandao.
shalom