Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2010

    Diana na Christopher Mwakasege, Mungu awabariki sana katika huduma yenu. Hakika katika jina la Yesu wengi wanapokea uponyaji na kufunguliwa! Mimi binafsi kwa kufuata masomo yako kwa njia ya mtandao, nimemuona Mungu kwa namna ya pekee. Mungu azidi kuwainua katika huduma yenu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2010

    haleluya watumishi Mungu awalinde na kuwatumia kama Yeye apendavyo,ili roho za watu zipone

    barikiwa

    ReplyDelete
  3. Rashid J. SongoloAugust 04, 2011

    Shalom.
    Watumishi waaminifu wa BWANA MUNGU WETU YEHOVA na Yesu Kristo mwokozi wetu, namshukuru MUNGU wetu kwa ajili yenu; kazi mnayoifanya ni kubwa mno. Ni maombi yangu kwamba MUNGU wetu azidi kuwalinda, awatee and awapiganie. Msichoke wala msifadhaike kwani tuko nyuma yenu tukiwaombea na ROHO Mtakatifu yu pamoja nanyi akiwaongoza. Watu wengi pamoja na mimi tumebarikiwa na mafundisho yenu tunayo pata kwa kuhudhuria mikutano na hata kwa njia ya mitandao.
    shalom

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...