Mkurugenzi wa Uwekezaji na Maendeleo ya Sekta Binafsi wa Soko la Pamoja la Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA) Dkt Chungu Mwila akielezea kwenye mkutano 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) jinsi mpango wa ruzuku ya mbolea kwa wakulima nchini Tanzania ulivyowasaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali. Wengine ni Mkrugenzi wa Idara ya Kilimo wa ADB Aly Abou-Sabaa(kushoto) na Afisa Sera wa Shirika linalojulikana kama Alliance for a Green Revolution in Africa lenye makao yake nchini Kenya Dkt Augustine Langyintuo(kulia)
Kamishna Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Uchumi ya Tanzania, Ngosha Magonya akichangia mada mjini Abidajan nchini Ivory Coast juu ya nchi za Afrika zinavyoweza kusaidia kuchangia ruzuku ya mbolea kwa wakulima kwa ajili ya kuleta mafanikio katika sekta ya kilimo.(picha na Tiganya Vincent, Abidjan.)


Jamaa Zungu nini?! ana bonge la cheni!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete