Shikamoo Michuzi,
Ninadhani haujambo wewe pamoja na family yako.
Ninaomba kuuliza, hivi huu wimbo nitaupata wapi?
embe dodo embe dodo
imelala mchangani
kwa huba na mazoea
uwe wangu milele
Nilitoka kwako juzi
nikitaka kukusabahi
mwenzio kanieleza kwamba hayuko
katoka nikauliza kenda wapi
kanijibu hajui
vyema nikipita vichochoroni
nikakuta ukinywa chan'gaa
Umekwisha potea
Umekwisha potea
Umekwisha potea
wapotea mtoto mzuri
kwa kunya changaa
Lola kolola mama kolola kolola
Lola kolola mama kolola kolola
Asante
Mdau V.
wewe mdau wacha kutuyeyusha kumbe unaujua kuuimba sasa unautafutia nini,au ndio unauza nyago
ReplyDeleteGoogle Bongo5 uangalie zilipendwa utaukuta humo.
ReplyDeleteMdau ungejua tu nina CD kamili itabidi unitafute kama upo USA nitakutumia copy ila itabidi utume gharama za shipping and handling
ReplyDeleteNiambie upo wapi mdau ni wimbo wa dakika 11 huo
Ni mimi DJ
ingia google andika tu embe dodo baasi utapata nyimbo zote hadi tazama ramani utaona nanihii
ReplyDeleteHuu wimbo na zengine katika album ya zilizopendwa kutoka kwa bendi ya Carnival ya kule Nairobi Kenya ni nzuri sana. Niambie uko wapi nitakutumia details ya vile unaweza kuupata. Tuma maelezo ulipo hapa man_ofstyle@yahoo.com
ReplyDeleteHuo wimbo nadhani ni wimbo Uyoga Band zamani walikuwa wanajulikana kama "Them Mashrooms" maskani yao jiji la Mombasa. Hivyo kama una Ndugu Tanga au Hata Dar ni Rahisi kuzipata CD...
ReplyDeleteNenda mwenge kwa jesse au ton wakubanie!
ReplyDeleteSIKILIZA KITU HIKI HAPA... ACHANA NA WADAU WA HAPO JUU HAWALIFAHAMU VIZURI HILI SONGI...
ReplyDeletehttp://www.eastafricantube.com/media/3988/Zilipendwa___Embe_dodo/
kama huwezi kuandika mdau peke yake then put your full name coz unafanya watu wote wenye majina yaanzayo na "V" tufikiriwe ndio tumetuma hii kitu.
ReplyDeleteHUO WIMBO MI NINAO ILA JINSI YA KUMPATA HUYO MUHITAJI NDIO SIJAJUA ILA MPE E-MAIL YANGU ILI NIJUE NITAMSAIDIAJE AMBAYO NI abdallahmasoud@hotmail.com NIKO DAR NATUMAI SHIDA YAKE ITAKUWA IMEKWISHA NA HATA AKITAKA ZA KINA DAUDI KABAKA NA WAKENYA WENGINE AMBAO WALIKUWA WAKIIMBA TWIST NA RHUMBA
ReplyDelete