Marehemu Patrick T. Kalanje
MARY MULAMULA DADA WA MAREHEMU PUAL T. KALANJE
ANATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WOOTE WALIOHUSIKA KWA
NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFANIKISHA MSIBA WA MPEDWA
MDOGO WAKE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA
LIHIMIDIWE.
AMEN.
MISA YA KUMUOMBEYA MAREHEMU ITAFANYIKA
KATIKA KANISA LA ST. ANNE
TAREHE 16-05-21-010 SAA 8 MCHANA
Gresham Street, London EC2V 7BX
KWA MAELEZO ZAIDI MTAPATA TOKA KWA
MARY MULAMULA 07818685659

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2010

    Pole Mary najua misiba ya mbali inavyokuwa migumi. Mwenyenzi Mungu akutie nguvu mwanangu ufanikishe misa hiyo... Aunty Bite

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2010

    OOOOOO JAMANI MARY ...MAMA PATRICK POLE SANA,NAMKUMBUKA HUYU MDOGO WAKO,WATE NJIA YETU MOJA,NAWAKUMBUKA WOTE .....ASANTE
    MIMI G. KILASI,KAMPALA ...256 772 491974

    ReplyDelete
  3. Lawrence CheyoMay 14, 2010

    RIP Pautrice

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2010

    asanteni sana ndugu zangu bwana amemtwaa kiumbe chake akipendacho nimelia nimenyamza sasa namshukuru tu yeye yesu,naombeni mje tu kwa wingi,na napenda kuwashukuru watanzania wote wa barking kwa kunisaidia kwa michango mbalimabili ikiwemo nauli,fedha za wine,fosters na lambrin asanteni sana ndugu zangu mungu atawabariki na napenda kuwafahamisha kila atakayekua ikiwezekana aje na lambrin au fosters kwa ajili kumbariki marehem na yesu na mimi mwenyewe kwa pamoja amen

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2010

    Naomba nieleweshwe. Marehemu ni Paul au Patrick Kalanje?? Maana namfahamu/namkumbuka Paul Kalanje...nilisoma nae Shaaban Robert pamoja na dada yake...Grace. Picha ni kama ya Paul au maybe wamefanana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2010

    Ni kweli Marehemu ni Paul Kalanje uliyekuwa naye Shaban Robert. Mungu aiweke roho yake mahali pema. Amin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...