MARY MULAMULA DADA WA MAREHEMU PUAL T. KALANJE
ANATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WOOTE WALIOHUSIKA KWA
NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFANIKISHA MSIBA WA MPEDWA
MDOGO WAKE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
ANATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WOOTE WALIOHUSIKA KWA
NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFANIKISHA MSIBA WA MPEDWA
MDOGO WAKE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA
LIHIMIDIWE.
AMEN.
MISA YA KUMUOMBEYA MAREHEMU ITAFANYIKA
KATIKA KANISA LA ST. ANNE
TAREHE 16-05-21-010 SAA 8 MCHANA
Gresham Street, London EC2V 7BX
KWA MAELEZO ZAIDI MTAPATA TOKA KWA
MARY MULAMULA 07818685659
LIHIMIDIWE.
AMEN.
MISA YA KUMUOMBEYA MAREHEMU ITAFANYIKA
KATIKA KANISA LA ST. ANNE
TAREHE 16-05-21-010 SAA 8 MCHANA
Gresham Street, London EC2V 7BX
KWA MAELEZO ZAIDI MTAPATA TOKA KWA
MARY MULAMULA 07818685659
Pole Mary najua misiba ya mbali inavyokuwa migumi. Mwenyenzi Mungu akutie nguvu mwanangu ufanikishe misa hiyo... Aunty Bite
ReplyDeleteOOOOOO JAMANI MARY ...MAMA PATRICK POLE SANA,NAMKUMBUKA HUYU MDOGO WAKO,WATE NJIA YETU MOJA,NAWAKUMBUKA WOTE .....ASANTE
ReplyDeleteMIMI G. KILASI,KAMPALA ...256 772 491974
RIP Pautrice
ReplyDeleteasanteni sana ndugu zangu bwana amemtwaa kiumbe chake akipendacho nimelia nimenyamza sasa namshukuru tu yeye yesu,naombeni mje tu kwa wingi,na napenda kuwashukuru watanzania wote wa barking kwa kunisaidia kwa michango mbalimabili ikiwemo nauli,fedha za wine,fosters na lambrin asanteni sana ndugu zangu mungu atawabariki na napenda kuwafahamisha kila atakayekua ikiwezekana aje na lambrin au fosters kwa ajili kumbariki marehem na yesu na mimi mwenyewe kwa pamoja amen
ReplyDeleteNaomba nieleweshwe. Marehemu ni Paul au Patrick Kalanje?? Maana namfahamu/namkumbuka Paul Kalanje...nilisoma nae Shaaban Robert pamoja na dada yake...Grace. Picha ni kama ya Paul au maybe wamefanana.
ReplyDeleteNi kweli Marehemu ni Paul Kalanje uliyekuwa naye Shaban Robert. Mungu aiweke roho yake mahali pema. Amin
ReplyDelete