CHANNEL ZILIZO HEWANI KWA SASA NI
BBC WORLD
TRACE TROPICAL (Music)
PHOENIX
AL-JAZEERA
C-MUCSIC
CCTV-4
CCTV-9
SENTANTA (Michezo)
TBN (Dini Mbalimbali)
FRANCE E (English News)
BET ANIMAUX (Wanyama na mazingira)
TBC 1
E! ENTERTAINMENT
CHANNEL TEN
DISCOVERY
WORLD MGM-(Classic Movies)
CHILD SMILE (Mafundisho ya watoto)
CLUBBING TV-Music E-TV
KIDS CO (Cartoon)STV C1 (Chinese)
STV E1 (English Movie)
STV E2 (English Movie)
CITIZEN TV
FASHION TV
NICKLODEON (cartoon)
NIT-(French Movies)
TRACE (Music)
VOX Africa (Movies mbalimbali za Nigeria etc)
HIVI KARIBUNI TUTAKUWA NA CHANNEL ZIFUATAZOFOOTSCHOOL SIBUKA2 (MOVIES)SETANTA TBC 2 (KOMBE LA DUNIA LITAONYESHWA LIVE)
On top of those channels we can loop the antenna to the decoders and TV to add more local channels like ITV, EATv, Star TV, Mlimani and Capital TV. The Signal quality of the mentioned local channel depends mainly on your type of TV and geographical location of your area.
Price: Star Times Decoder Tsh.70, 000.
Monthly Subscription Tsh. 9,000 (only if you use indoor antenna i.e buy and pick)
Total package – including Star Times Decorder, monthly fee, Installation charges, outdoor Antenna, cables, connectors, looping, transport to client site varies from Tsh.120,000 to 170,000 depending on the geographical location and complexity of the environment available at the client site
Contacts:022 -2772607 – OFFICE
(Inter House 3rd Floor, (Opposite Millenium Towers and Sinza Mori)
0713-362901/0754-362901 (Rodrick Mwambene)
0715452248 (Baraka)
0717548194 (Eunice Tesha)
jamani nyiee !!! hizo channel zote zinapatikana bure nyie ..
ReplyDeletehaya ...
Nasikia kufikia 2015 hakuna channel itakayoweza kurusha matangazo yake kama ilivyo sasa - Free to Air (Analogue)
ReplyDeleteSasa swali langu, Je ukitaka kuona ITV inabidi uwe na decoder yake peke yake? Na TBC decoder nyinine? etc...?
Hawa Star times wanatuambia ITV, Star TV, Mlimani etc zitakuja kujumuishwa kwenye hii decoder moja....je ni kweli?
Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa hili.
anon wa kwanza ni kweli hizi channels zinapatikana bure lakini si unajua mwajiri mkuu ameshindwa kuwakaripia wale jamaa wa fibre kiasi kwamba bongo internet hatuna na kama ipo basi ni ugonjwa wa moyo.
ReplyDeleteHadi inatia uvivu hata kufungua page 1 sembuse kuona hizo channels online na pale penye net ya uhakika, mshahara wote tutalipia net na ameshasema hata ikipita miaka nane kima changu cha chini cha mshahara hakitafika 350!!
inauma sana unajua mbele ni kiza totoro, nisaidieni mwenzenu.
tunafurahi hii huduma but channel.ten kuna tatizo unachokiona kingine na unachosikia kingine sijui hapo pamekaaje wahusika tafadhali mfatilie suala hili
ReplyDeleteNimsaidie huyo wa pili kupost comment zake: ni kwamba wanaposema unaweza kuloop kutoka kwenye decocder ukapata itv na channel nyingine ina maana unaunga cable kwenye output ya decoder yako kwenda kwenye input ya antenna kwenye tv yako kwahiyo utatumia antenna moja kuangalia hizo za star times na local channel ni hilo tu nilitaka kukufahamisha
ReplyDeleteKama ukiona channel 10 ina muingiliano wa frequency za radio na TV basi katika remote control yako ya Star Times kuna button imeandikwa "TRAK".... Bonyeza hiyo button ya TACK mara moja ,utakuwa umeondokana na hiyo kero ya muingiliano wa hiyo sauti ya radio kusika kwenye Chanel ten ......
ReplyDeleteRodrick Mwambene (RMM) Authorised Agent of Star Media Tanzania Ltd.
Swali la anony hapo juu:Hawa Star times wanatuambia ITV, Star TV, Mlimani etc zitakuja kujumuishwa kwenye hii decoder moja....je ni kweli?
ReplyDeleteJibu: Star times hawajazungumza kwamba wanajumuisha ITV, Star TV, Mlimani etc kwenye decorder yao, wala hawana right ya kuonyesha hizo chennels ulizouliza, ila mimi RMM kama Agent wa Star times nafanya looping kusaidia wananchi kuweza kupata channels za local kwa kutumia antena moja na decorder moja badala ya chomeka chomoa pia inasaidia kufanya management ya home theater kuwa rahisi.
Rodrick Mwambene
RMM (Authorised Agent of Star Times)
nimefurahi kwa msaada nimebonyeza hiyo truck basi mambo mwanooooo sasa kazi njema endelea kuboresha mtupe raha.
ReplyDeleteHow do I have channels on my phone?
ReplyDelete