Home
Unlabelled
white party in essen, germany, June 5, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
La hawla wala quwata!
ReplyDeleteHotsy tatas zipo nusu nje kabisa!
matangazo mengine bwana mh!! kaazi kweli kweli hapo ndio utajuwa kweli wabongo ni kiboko kwa vishawishi vya ngono
ReplyDeleteyani tangazo la party haliwezi kupendeza bila kuweka picha ya kutamanisha mambo ya ngono
tuwe mahodari katika kuchombeza mambo ya kujilinda na magonjwa na sio kushawishi watu katika mambo ya ngono
party unaweza kuitangaza kwa kuweka picha ya mwanadada alievalia vazi la kitamaduni lenye maadili na nchi zetu na sio lazima kuweka tangazo kama hilo la mdada aliewacha matiti nje na utamanishi wa ngono
mdau wa mahakama kuu ya dunia nawakilisha.
Je wangeweka ndito wa kimangati ungeswmaje?.
ReplyDelete