Naibu waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akimkabidhi kitita cha Sh 1millioni mshindi wa Miss Kanda ya kati, Beatrice Singh mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika mjini Dodoma.

hapana kwa kweli anaonekana kakomaa full mtu mzima huyu lol! naona anataka kufata nyendo za richa haya mama lakini nawasiwasi na umri kwa kweli utakuwa umeenda, jamani michuzi si unaona? cheka kimyakimya
ReplyDeleteMbona huyo Wilani Etami ndio mzuri zaidi!!!
ReplyDeleteSIGHN JINA LA KIDOSI HILO !!
ReplyDeleteWape ancle wapee! Hongera sana uncle! she is just a little girl born 1992.
ReplyDeleteMalisa BG
Mbona huyo Wilani Etami anatisha hivyo? Hilo tabasamu lake si la kawaida...lakini nadhani picha si nzuri. Hongera Beatrice!!!!!!!!
ReplyDeletehuyo dada namfahamu 2nakaa nae moshi mjini mtaa mmoja jina la nyumbani naitwa baby. ni chotara mamake mchaga.wameishi maisha ya tabu sana ila huwa cku hz tokea kaenda chuo nyodo haziishi hasa wadogo zake.
ReplyDelete