Mshindi wa Miss Kanda ya kati Beatrice Singh akiwa na wenzake waliomfuatia Wilani Etami (kushoto) na Pili issa baada ya kutangazwa matokeo ya ushindani huo.

Naibu waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akimkabidhi kitita cha Sh 1millioni mshindi wa Miss Kanda ya kati, Beatrice Singh mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2010

    hapana kwa kweli anaonekana kakomaa full mtu mzima huyu lol! naona anataka kufata nyendo za richa haya mama lakini nawasiwasi na umri kwa kweli utakuwa umeenda, jamani michuzi si unaona? cheka kimyakimya

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2010

    Mbona huyo Wilani Etami ndio mzuri zaidi!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    SIGHN JINA LA KIDOSI HILO !!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2010

    Wape ancle wapee! Hongera sana uncle! she is just a little girl born 1992.

    Malisa BG

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2010

    Mbona huyo Wilani Etami anatisha hivyo? Hilo tabasamu lake si la kawaida...lakini nadhani picha si nzuri. Hongera Beatrice!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. huyo dada namfahamu 2nakaa nae moshi mjini mtaa mmoja jina la nyumbani naitwa baby. ni chotara mamake mchaga.wameishi maisha ya tabu sana ila huwa cku hz tokea kaenda chuo nyodo haziishi hasa wadogo zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...