Asalaam alaykum Ankal
Mechi ilipigwa mjini Dar uwanja wa uhuru kama sikosei 1972.
Mechi ilipigwa mjini Dar uwanja wa uhuru kama sikosei 1972.
Wanaoonekana Pichani ni Rais wa Zamani wa Sudan ambaye alikuwa mgeni wa heshima Gaffar El Nimeir akisalimiana na wachezaji wa taifa stars, Kutoka kushoto ni Mohamed Chuma , Omar Zimbwe ,Kitwana Manara,anayeonekana Kichwa ni Shaaban Baraza ,Kapteni Kibadeni.Kilichotokea siku hiyo timu zote zilikuja na jezi zinazo fanana na refarii wa Mechi hiyo Manyoto Ndimbo akawaamuru wenyeji wavue jezi zao Huku Mwalimu akishuhudia tukio hilo.
Prof. Mrisho
mgeni rasmi ni rais wa zamani wa sudan bwana gaffar nimeiri,wa mwisho kushoto ni chuma,na anaefuatana na mgeni rasmi ni abdulrahman juma hicho ni kikosi cha kwala jangwani miaka hiyo au wana yanga wanga wa wakati huo katika soka.
ReplyDeleteyanga oye usa.
Du kaka..na netboli ilikuwa hivyo?
ReplyDeleteMdau Mbije,Andendekisye
wooow...
ReplyDeleteYaani this was the REAL TAIFA stars. Nakumbuka waliichapa timu ya Brazil ya vijana twice when the Brazilian team made African tour,(this was NOT that match, I think this was against Egypt?) Sikumbuki pia ilikuwa ni mwaka gani. Lakini it was the only team that did so.
Mechi ya jana ilikuwa mzaha mtupu. What a shame, kwa kweli vijana wetu just can't get it together. The Taifa stars now is probably one of the worst teams I've ever seen, and mark you Coach Maximo amefanya kazi kweeeli kuwafikisha kiwango walichonacho sasa.
Nawaona hapo Boy Wickens, Omar Zimbwe, Kitwana Manara na Capt. someone Juma, sorry first name limenitoka. Mgeni wa heshima simkumbuki.
Man those were the days!
Tukio hili lilitokea baada ya rangi za jezi za Tanzania na Sudan kufanana, ilibidi timu mwenyeji kuvua jezi. tukio hili sio lilomfanya Nyerere kuacha kwenda mpirani tena. Tukio lililomfanya Nyerere kuacha kwenda mpirani tena ni la mechi kati ya Tanzania na Ethiopia ambapo ngumi zilipigwa, Nyerere akasema "nimemekuja mpirani kuangalia mpira sio ngumi na kuanzia leo sitokuja tena mpirani".
ReplyDeletena aibu iliyomkuta jana JK wimbo wa taifa kugomagoma kuimba,naye ataacha kuja uwanjani?
ReplyDeletekumbe jamani tumetoka mbali sana,umenikumbusha baada ya azimio la arusha, ambapo kila mtu upepo ulimfikia, hakuna aliyenusurika si mkulima.mfanyakazi,mfanyabiashara wala watoto naam baada ya dhiki imekuja faraja.tuko katika neema mungu abariki na azidishe ziwafikie hata majirani
ReplyDeletetoka shoto Chuma, Omar Zimbwe,Capt. Abdulrahman Juma, Mgeni Rasmi , na King Kibaden
ReplyDeleteMwalimu Nyerere was never a sports fan. It was just a flimsy excuse.
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeletePichani ni Mgeni Rasmi Aliekuwa Rais wa Sudan Jaafar Nimeiry na anatambulishwa na Kepteni wa Tanzania Abdulrahman Juma.
Toka kushoto ni Chuma, Omar Zimbwe, Kitwana Manara na anaeonekana kichwa kwa nyuma ni Kibadeni.
Kisa cha Wachezaji kuwa tumbo wazi ni Viongozi kutoihudumia Timu ikiwa Kambini hata Wachezaji wakalazimika kuja Uwanjani kwa Miguu [kambi yao ilikuwa jirani tu Jeshi la Wokovu] na hakupelekewa hata Jezi kambini.
Mechi hiyo tuliifunga Timu ya Taifa ya Sudan bao 3-0.
Storming
Mdau wa www.uksokainbongo.blogspot.com & www.sokainbongo.com
Kweli huu ulikuwa ni ujima. Watu matumbo wazi au labda niseme vifua wazi?
ReplyDeleteSasa Badala ya kuwatafutia Jezi mwalimu akasema harudi tena!!!! Wachezaji walikuwa wanatembea na mguu kwenda kucheza mechi!!!!!
Mungu tuepushe na umaskini wa kiwango hicho!