Home
Unlabelled
mashindano ya riadha kwa nchi za afrika mashariki na kati kwa vijana yamalizika jumatano hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimefurahi kuona ZANZIBAR imetajwa kama nchi.
ReplyDeleteIdumu ZANZIBAR!
Hivi kumbe zanzibar na tanzania ni sio nchi moja..ok.Mi nilikuwa nafikiria kuwa ni Tanzania bara na visiwani.
ReplyDeleteMi sikujua kama kuna TANZANIA na ZANZIBAR.
ReplyDeletejamani kwani zanzibar na tanzania ni vitu viwili tofauti!!tanzania 4 zanzibar 2
ReplyDeleteHii ni dalili kuwa kuwa kura ya maoni juu ya serikali ya umoja wa kitaifa ZANZIBAR inafanya kazi.
ReplyDeleteHili la ZANZIBAR kupewa haki ya kuwa nchi inaonyesha kuwa tanganyika wanaiogopa kura ya maoni juu ya muungano ambayo inatayarishwa na wazanzibari.
kura ya maoni juu ya serikali ya mseto tayari.
kura ya maoni juu ya muungano iko jikoni.
idumu ZANZIBAR!
Mmmmnnnn....
ReplyDeleteHayo majibu hayajapangwa kweli?
Tanganyika ya 4
Zanzibar ya 2
Mmnn..
Halafu jamani, Zanzibar siyo nchi! It is not a SOVEREIGN State. Tanzania ndio Sovereign. Japo Zanzibar ina Rais wake. Lakini yule ni wa Serikali ya Mapinduzi, wakati JK yeye ni Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO (wa Tanzania).
Zanzibar sijui niitaje? Sijui ni Mkoa au ni Kisiwa au ni nini?. Japo kabla ya Muungano zote Tanganyika na Zanzibar zilikuwa ni nchi, kwa maana ya Sovereign States.
,Msaada kwenye tuta,
, Zanzibar tutaiitaje?,
after all Zanzibar is NOT that mdebwedo.........maana nyie watu munapenda kutuonea.MZANZI for SHO!
ReplyDeleteSambamba na hilo katika mashindano hayo wimbo wa tifa wa Zanzibar ulipigwa na pia bendera ya Zanzibar ilipepea
ReplyDeleteWATANZANIA TULALAMIKE KWANINI KENYA INAPENDELEWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA KILA KITU. TUSIACHE KABISA KULALAMA MPAKA WATUKOME.
ReplyDeleteacheni ujinga kuna Tanganyika na Zanzibar. Iliyopo sasa ni kiini macho tu.wapeni nafasi wazanzibar waendeshe maisha yao.
ReplyDeleteHAPA NDO NABAKI HOI... MWANZO MDUDU WA KUWABAGUA WAKENYA LEO SASA MDUDU KAZAA... UZANZIBARA NA UTANGANYIKA... JAMANI UMOJA ULIWAKOSEA NINI??? Amakweli Nyerere Hakukosea aliposema "UKISHAJITENGA MATOKEO YAKE ITAENDELEA"
ReplyDeleteLEO TUNASEMA MTANZANIA MZALENDO KESHO MZALENDO MZANZIBARA AU MZALENDO MTANGANYIKA. KESHOKUTWA MZALENDO KANDA YA ZIWA/MZALENDO MPEMBA ETC...
Ubaguzi unajitokeza kwa mambo mengi... JAMANI JAMANI HUU UBAGUZI TUUACHENI UTAZUA MENGINE...
Yaani Tanganyika tu wachovu kihivyo nafasi ya mwisho overall ndiyo maana tumejipachika 'TANZANIA'.
ReplyDeleteIla hongera kwa ndugu zetu wa Zanzibar kwa kufanya vizuri na kunyakua nafasi ya pili overall.
Mdau
Idodomiya
Tanganyika.
kama watu wanautaka sana huo muungano basi uvunjwe uundwe upya kwa misingi inayoeleweka na sio vile ulivyotengenezwa na na watoto wa kanisa mwaka 1964.Haswa nini siye watanganyika ambao hata siku ya uhuru wetu wa 1961 tunajiita tanzania na kujifanya tumesahau kwamba sisi ni watanganyika tunachogombea kuhusu zanzibar.waacheni wapumue au mnaogopa watakuja watu na kuwekeza pale n'gambo? wapeni mhewa kidogo kama patakuwa na umuhimu wa kuungana tena basi tutataarisha mikataba ya kweli na wazi na sio ile ya wasomi wachache na wajinga wengi ya mwaka 1964.
ReplyDeletemichuzi hapo kuhusu position sijapenda ulivyoiweka zanzibar ya mwisho wakati ni ya pili sio fresh ijapokua sio wewe uloandika,hapo alikuwa asifanye alphabetical oder afanye position oder u get me?
ReplyDelete