Matokeo ya mashindano ya riadha kwa vijana nchi za Afrika Mashariki na Kati
Timu za Afrika Mashariki na kati katika mbio za mita 400 kupokezana vijiti




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Nimefurahi kuona ZANZIBAR imetajwa kama nchi.

    Idumu ZANZIBAR!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2010

    Hivi kumbe zanzibar na tanzania ni sio nchi moja..ok.Mi nilikuwa nafikiria kuwa ni Tanzania bara na visiwani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2010

    Mi sikujua kama kuna TANZANIA na ZANZIBAR.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2010

    jamani kwani zanzibar na tanzania ni vitu viwili tofauti!!tanzania 4 zanzibar 2

    ReplyDelete
  5. Hii ni dalili kuwa kuwa kura ya maoni juu ya serikali ya umoja wa kitaifa ZANZIBAR inafanya kazi.

    Hili la ZANZIBAR kupewa haki ya kuwa nchi inaonyesha kuwa tanganyika wanaiogopa kura ya maoni juu ya muungano ambayo inatayarishwa na wazanzibari.

    kura ya maoni juu ya serikali ya mseto tayari.
    kura ya maoni juu ya muungano iko jikoni.

    idumu ZANZIBAR!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2010

    Mmmmnnnn....

    Hayo majibu hayajapangwa kweli?

    Tanganyika ya 4
    Zanzibar ya 2

    Mmnn..

    Halafu jamani, Zanzibar siyo nchi! It is not a SOVEREIGN State. Tanzania ndio Sovereign. Japo Zanzibar ina Rais wake. Lakini yule ni wa Serikali ya Mapinduzi, wakati JK yeye ni Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO (wa Tanzania).

    Zanzibar sijui niitaje? Sijui ni Mkoa au ni Kisiwa au ni nini?. Japo kabla ya Muungano zote Tanganyika na Zanzibar zilikuwa ni nchi, kwa maana ya Sovereign States.

    ,Msaada kwenye tuta,
    , Zanzibar tutaiitaje?,

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 24, 2010

    after all Zanzibar is NOT that mdebwedo.........maana nyie watu munapenda kutuonea.MZANZI for SHO!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 24, 2010

    Sambamba na hilo katika mashindano hayo wimbo wa tifa wa Zanzibar ulipigwa na pia bendera ya Zanzibar ilipepea

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 24, 2010

    WATANZANIA TULALAMIKE KWANINI KENYA INAPENDELEWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA KILA KITU. TUSIACHE KABISA KULALAMA MPAKA WATUKOME.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 24, 2010

    acheni ujinga kuna Tanganyika na Zanzibar. Iliyopo sasa ni kiini macho tu.wapeni nafasi wazanzibar waendeshe maisha yao.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 24, 2010

    HAPA NDO NABAKI HOI... MWANZO MDUDU WA KUWABAGUA WAKENYA LEO SASA MDUDU KAZAA... UZANZIBARA NA UTANGANYIKA... JAMANI UMOJA ULIWAKOSEA NINI??? Amakweli Nyerere Hakukosea aliposema "UKISHAJITENGA MATOKEO YAKE ITAENDELEA"

    LEO TUNASEMA MTANZANIA MZALENDO KESHO MZALENDO MZANZIBARA AU MZALENDO MTANGANYIKA. KESHOKUTWA MZALENDO KANDA YA ZIWA/MZALENDO MPEMBA ETC...

    Ubaguzi unajitokeza kwa mambo mengi... JAMANI JAMANI HUU UBAGUZI TUUACHENI UTAZUA MENGINE...

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 24, 2010

    Yaani Tanganyika tu wachovu kihivyo nafasi ya mwisho overall ndiyo maana tumejipachika 'TANZANIA'.

    Ila hongera kwa ndugu zetu wa Zanzibar kwa kufanya vizuri na kunyakua nafasi ya pili overall.

    Mdau
    Idodomiya
    Tanganyika.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 24, 2010

    kama watu wanautaka sana huo muungano basi uvunjwe uundwe upya kwa misingi inayoeleweka na sio vile ulivyotengenezwa na na watoto wa kanisa mwaka 1964.Haswa nini siye watanganyika ambao hata siku ya uhuru wetu wa 1961 tunajiita tanzania na kujifanya tumesahau kwamba sisi ni watanganyika tunachogombea kuhusu zanzibar.waacheni wapumue au mnaogopa watakuja watu na kuwekeza pale n'gambo? wapeni mhewa kidogo kama patakuwa na umuhimu wa kuungana tena basi tutataarisha mikataba ya kweli na wazi na sio ile ya wasomi wachache na wajinga wengi ya mwaka 1964.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 24, 2010

    michuzi hapo kuhusu position sijapenda ulivyoiweka zanzibar ya mwisho wakati ni ya pili sio fresh ijapokua sio wewe uloandika,hapo alikuwa asifanye alphabetical oder afanye position oder u get me?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...