Home
Unlabelled
MPIGANAJI ODONYO ATANGAZA NIA KUGOMBEA UBUNGE RORYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Manahabari, hivi ili jimbo utawza kweli na majina makubwa Kama John Mashaka, Philemon Sarungi, Lameck Airo na Prof. Monyo wameshajitosa? Kila la kheri bwana. Lakini jok ma osekao fom go josenti malit jatelo
ReplyDeletewuod-kamageta
huyu jamaa ni kodi tu, vibaraka wa yohana nabii mashika. anajifanya kuweka wapambe, mashaka janja yako tunnajua kampeni zako ni janja za nyani mkuu, watu wako tayari wako Rorya, walianza kampeni hata kabla ya muda unaoruhusiwa
ReplyDeleteJamani bungeni kuna nini? Kila mtu anataka kugombea ubunge.Mungu wangu weeee turehemu sisi wapiga kura.
ReplyDeleteJaluo Kaseno diwani wa Kitunda mbona sikusikii? Nilitegemea ungetangaza nia tayari. Jitose mheshimiwa. Roho yangu inaniambia wewe ndiye mbadala kwa Sarungi. Kijana nenda usiogope.
ReplyDeleteNasikitika maadili ya uandishi wa habari hakuna. Kumbe huyu bwana ni muumini wa siasa za ccm kwa muda wote huo hadi akaonesha kutaka kuwa mbunge. Maana yangu ni kwamba, asingeweza kuiandika CCM vibaya kwa vile na yeye yumo humo humo. Mwandishi hapaswi kuwa na itikadi moja ya kisiasa atakuwa subjective kwenye reporting. Waandishi wengi wa habari wameingia mtegoni na kuacha taaluma yao njia panda.
ReplyDeletedawa ni kupunguza Mshahara wa wabunge
ReplyDeleteMICHUZI: Huyu bwana sio Odonyo ni OBONYO. HUYU BWANA KESHAFANYA KAZI DAILY NEWS NA TBC LAKINI MBONA KOTE KAACHA??? ATUELEZE SABABU KWANI TUNASIKIA KOTE ALIKOPITA KULIKUWA NA MAMBO FLANI HIVI AMBAYO YEYE BINAFSI IANAPASWA KUYAWEKA WAZI KAMA KWELI ANATAKA KUTUMIKIA WANANCHI WA RORYA. LAKIN NAMTAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAPAMBANO HAYO MAGUMU KULIKO KAZI YA UANDISHI WA HABARI AMBAYO AMEI.........
ReplyDeleteWANAU MNAOMJUA ONONYO MALIZIENI
Bwana Obonyo, hilo jimbo ni either la Mashaka John au la Sarungi. au ndo watu wawili wanaokubalika sana huko Rorya
ReplyDeleteWana Rorya naomba kujua je yule Peter Owino Wa Shirati anagombea au vipi?, kwani nasikia anampango huo kama ni kweli je anatjitangaza lini.
ReplyDeleteOwuor