Mtangazaji wa TBC One Maimatha wa Jesse ambaye alikuwa MC wa shindano la kumsaka mrembo wa kilimanjaro katika ukumbi wa Picolo mjini Moshi wikiendi hii akiwa na mwandaaji wa shindano hilo Jackie Chuwa wakati mwandaaji huyo alipokuwa akitoa utambulisho. Kundi la Mwandago Investment likitoa burudani ya
kufa mtu wakati wa kumsaka Vodaco Miss Kilimanjaro 2010.
Msanii anayetamba na kibao cha 'Pole samaki pole' wanaojulikana na jina la Off Side Trick akitumbuiza na kundi lake wakati wa shindano la kumsaka Vodacom Miss Kilimanjaro 2010.
Off Side Trick toka Zenji wakifanya mambo yao...
katika shindano la kumsaka Vodacom Miss Kilimanjaro 2010.
Miss Kilimanjaro aliemaliza muda wake akisubiri kukabidhi taji
Vodacom Miss Kilimanjaro 2010 Gloria Ulomi akitamba na taji lake
Warembo wa tano bora wa Vodacom Miss Kilimanjaro 2010 mara baada ya kushinda. Mshindi wa kwanza alikuwa Gloria Ulomi, nafasi ya pili ilichukuliwa na Glory Justin na wa tatu ilichukuliwa na Glory Justinna na ya nne ni Eliza

Ukumbi wa Picolo mjini Moshi ulikuwa hapatoshi
Woinde Shizza wa wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini akiwa na Maimatha wa Jesse








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2010

    Teh teh teh aaaaaaaaaanha!! Ankal bwana!!! Picha ya kwanza na ya tano! Duh ahsante sana ankal!!! Yani hii picha ya tano hahaha aaaaaaaaaanha!!! Ni mabao kwa kwenda mbele !!! Teh teh teh ankal umenitoa mwanangu, teh teh teh, ugali kwa picha ya samaki utanitaka ankal!!! Haya ndo mambo sasa ankal'. Mdau wa pajazzzzzzzzz na titizzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  2. mwe kwa kurudia nguo superstaa nakusifu loohh

    ReplyDelete
  3. Michuzi kidoooogo unaanza kujitahidi sasa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2010

    Yes!!!Nasikia raha,utamu!!Siasa zilikuwa zimezidi ankal

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2010

    Dada aliyevaa kijani, nguva yenye marinda na mpasuo mbele, huyo aliye kushoto (kwa usomaji wa picha) mwa Miss JRO; Mashallah!

    She is quite something, japo wote hao ni wazuri na warembo.

    ReplyDelete
  6. It is nice to see beauty contest organized in different regions,giving our sisters chances to show their talents while at the same time entertaining the public.Thanks ankal and your people for informing us on different issues take place in the country via your blog

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2010

    mdau wa kwanza you need help.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2010

    wewe mamusha kurudia nguo siyo tija acha ulimbukeni tatizo nguo yenyewe inakaa vyema?inamaana wewe kila siku unalalia shuka mpya acha hizo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2010

    Ankal mbona unabania sms zetu toa tu ni ushauri wa bure kwa wote

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2010

    Maimatha hiyo nguo basi sasa duh!itatoboka sasa maana imeteseka!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2010

    Haya majina ya mafungu inakuwaje? "Glory" anyway ni jina zuri, no more comments. Ila kwa maimartha kurudia nguo ni jambo la kawaida wala usijali, wewe vaa ile jua pendeza wewe bana, kwani nini

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2010

    maimath hiyo miguu yako china nini au zongua hua imepinda bora uwe unavaa suruali kila siku

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2010

    huyo binti anayemaliza muda mbona kanuna hivyo au hakuwa tiyari kulikabidhi hilo taji,hata aliyeingia naye tabasamu lake sio zuri,ajitahidi kidogo akitaka kushindana na watoto wa dar na kwingineko,ili akashindane vizuri na watoto wa kihindi na kichina walobobea katika urembo

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2010

    Hiyo picha ya kwanza dada mweupe amefungwa 'tag' mguu wa kulia kwani alifanya kosa gani?

    Maana huku Ukerewe kifungo cha nje unavalishwa 'tag' mguuni ili wajue masharti ya kuwa umelala nyumbani kwako mapema uwe umeyatimiza, maana 'tag' hiyo huonyesha mawimbi ya kieletroniki kama GPS ,kama upo nyumbani au unazurura mitaani.

    Mdau
    Mjini Reading
    Uk.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2010

    ha ha haaaa uuwii mdau wa reading umenichekesha sana lol watu mna mambo he he heeee !!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2010

    mdau unaeulizia tag inawezekana hujawahi pia ona tag ilivyo usingeuliza pumba kama hio.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 16, 2010

    Ankaaaaaal mbavu zangu jamani m mungu akyzidishie umri na afya njema akupe maarifa utuboreshee libeneke kila nikikiingia hapa nacheka na wana macomments mdau wa ukerewe kanitekerenya haaaaaa ybinty aka honeypie

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 16, 2010

    mdau wa Tue Jun 15, 05:54:00 PM sawa tushajua kama uko ukerewe, labda mara nyengine uweke na jina lako ili soote tutangaze kuwa uko ukerewe. anyway umeonyesha dhahiri kuwa kuwepo ukerewe sio kufumbuka macho na mawazo, kwani bado ni wakuja tu, tag wanazofungwa crimnals toka lini zikawa za vitambaa? juha kalulu wewe! nenda kapige boksi huko!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...