kufa mtu wakati wa kumsaka Vodaco Miss Kilimanjaro 2010.
katika shindano la kumsaka Vodacom Miss Kilimanjaro 2010.
Miss Kilimanjaro aliemaliza muda wake akisubiri kukabidhi taji
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Teh teh teh aaaaaaaaaanha!! Ankal bwana!!! Picha ya kwanza na ya tano! Duh ahsante sana ankal!!! Yani hii picha ya tano hahaha aaaaaaaaaanha!!! Ni mabao kwa kwenda mbele !!! Teh teh teh ankal umenitoa mwanangu, teh teh teh, ugali kwa picha ya samaki utanitaka ankal!!! Haya ndo mambo sasa ankal'. Mdau wa pajazzzzzzzzz na titizzzzzzzzzzzz
ReplyDeletemwe kwa kurudia nguo superstaa nakusifu loohh
ReplyDeleteMichuzi kidoooogo unaanza kujitahidi sasa.
ReplyDeleteYes!!!Nasikia raha,utamu!!Siasa zilikuwa zimezidi ankal
ReplyDeleteDada aliyevaa kijani, nguva yenye marinda na mpasuo mbele, huyo aliye kushoto (kwa usomaji wa picha) mwa Miss JRO; Mashallah!
ReplyDeleteShe is quite something, japo wote hao ni wazuri na warembo.
It is nice to see beauty contest organized in different regions,giving our sisters chances to show their talents while at the same time entertaining the public.Thanks ankal and your people for informing us on different issues take place in the country via your blog
ReplyDeletemdau wa kwanza you need help.
ReplyDeletewewe mamusha kurudia nguo siyo tija acha ulimbukeni tatizo nguo yenyewe inakaa vyema?inamaana wewe kila siku unalalia shuka mpya acha hizo.
ReplyDeleteAnkal mbona unabania sms zetu toa tu ni ushauri wa bure kwa wote
ReplyDeleteMaimatha hiyo nguo basi sasa duh!itatoboka sasa maana imeteseka!
ReplyDeleteHaya majina ya mafungu inakuwaje? "Glory" anyway ni jina zuri, no more comments. Ila kwa maimartha kurudia nguo ni jambo la kawaida wala usijali, wewe vaa ile jua pendeza wewe bana, kwani nini
ReplyDeletemaimath hiyo miguu yako china nini au zongua hua imepinda bora uwe unavaa suruali kila siku
ReplyDeletehuyo binti anayemaliza muda mbona kanuna hivyo au hakuwa tiyari kulikabidhi hilo taji,hata aliyeingia naye tabasamu lake sio zuri,ajitahidi kidogo akitaka kushindana na watoto wa dar na kwingineko,ili akashindane vizuri na watoto wa kihindi na kichina walobobea katika urembo
ReplyDeleteHiyo picha ya kwanza dada mweupe amefungwa 'tag' mguu wa kulia kwani alifanya kosa gani?
ReplyDeleteMaana huku Ukerewe kifungo cha nje unavalishwa 'tag' mguuni ili wajue masharti ya kuwa umelala nyumbani kwako mapema uwe umeyatimiza, maana 'tag' hiyo huonyesha mawimbi ya kieletroniki kama GPS ,kama upo nyumbani au unazurura mitaani.
Mdau
Mjini Reading
Uk.
ha ha haaaa uuwii mdau wa reading umenichekesha sana lol watu mna mambo he he heeee !!!
ReplyDeletemdau unaeulizia tag inawezekana hujawahi pia ona tag ilivyo usingeuliza pumba kama hio.
ReplyDeleteAnkaaaaaal mbavu zangu jamani m mungu akyzidishie umri na afya njema akupe maarifa utuboreshee libeneke kila nikikiingia hapa nacheka na wana macomments mdau wa ukerewe kanitekerenya haaaaaa ybinty aka honeypie
ReplyDeletemdau wa Tue Jun 15, 05:54:00 PM sawa tushajua kama uko ukerewe, labda mara nyengine uweke na jina lako ili soote tutangaze kuwa uko ukerewe. anyway umeonyesha dhahiri kuwa kuwepo ukerewe sio kufumbuka macho na mawazo, kwani bado ni wakuja tu, tag wanazofungwa crimnals toka lini zikawa za vitambaa? juha kalulu wewe! nenda kapige boksi huko!
ReplyDelete