Home
Unlabelled
ankal akitomboka tomboka kwenye mnuso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kiswahili cha siku hizi yani hadi homa,jaribu kutamka hilo neno hatomboki tomboki mbele ya mkweo siunaishia sema matusi!
ReplyDeleteHAhahahahaa safi sana hii Ankal kweli palikua hapatoshi burudani saafi.
ReplyDeleteChef Issa
Hongera Ankal kwa suti ya nguvu sio kila kukicha fulanazz, neno TOMBOKATOMBOKA naona unalianzisha liwe lugha ya mtaani halijakaa vizuri!!tafuta neno jingine wewe ni Mkuu wa wilaya ya Ukerewe sio fresh
ReplyDeleteNina hamu sana na kutomboka tomboka ila nanihii yupo nanihii sasa hivi...
ReplyDeleteankaaaaaaaaaaaal hongera kwa kutomboka ,i like u when u dont wear that weird fulana u look mwaaaa.
ReplyDeleteDuh! hii lugha yetu mwisho wa siku tataishia kutukanana. Tomboka?
ReplyDeletesina hamu na ankali mwezenu!!
ReplyDeleteKutomboka maana yake ni nini?
ReplyDeleteLadies mmependeza...My sis Try..is that not you!..You look STUNNING..FABULOUS as USUAL..Hahah!
ReplyDeleteOssamah
Jamani maharusi wa siku hizi wame-data si mchezo.sasa ndo nini KUTOMBOKA KOTE bwana harusi.No wonder ndo hazidumu.
ReplyDeleteAnyway,best of luck.
Jamani Ankal hicho kiswahili ni cha wapi!!! Uwiiiii
ReplyDeleteOld is GOLD Michuzi. Kumbe na wewe wamo!!!!! Congrats
ReplyDeleteNinavyofahamu mimi kutomboka ni kilingala likiwa na maana ya kufoka au kumkaripie mtu ama kumkoromea kwa lugha ya siku hizi,kwa hiyo hapo bwana michuzi alikuwa anamkoromea huyo aliyekuwa anajifanya kucheza nae.
ReplyDeleteHicho kiswahili au kilugha? kama ndio unaanza neno jipya achana nalo halina mantiki wala mvuto wewe ni mtu mzima.TOMBOKA!!!
ReplyDeletekaka angalia sana sehemu fulani ulimi au kalamu isije ikateleza ukaweka herufi "e" badala ya "o".
ReplyDeleteItakuwa noma mtu wangu! Ohoo!
ankal anacheza kiduku anaweza huyoo
ReplyDeleteTigo tupu hapo...Namuona Tino...Devi...wengine nimeasahau...Long tyme...
ReplyDeleteMdau wa tigo ya zamani
MUONGOZO:
ReplyDeleteKUTOMBOKA JAMANI MKIKONGO NI KUONGEA KWA STYLE YA KUROPOKA WALA SI KUCHEZA RHUMBA AMA SEBENE,BUT U CAN SAY KWA KISWAHILI YA LUBUMBASHI,MANYEMA PRO AMA BUKAVU "YULE BWANA NI NINI?NJO VILE ANATOMBOKA MANENO MINGI SAWA VILE MUSODAA ANAFUNGULIA MASASI"
Duh hilo neno co wala nini naogopa hata kulirudia
ReplyDeleteKutomboka ni neno linatumika Bukoba, yaani mkiwa wengi mwatomboka, mmoja yatomboka ni kutembea kwa madaa, msitake kubadiri maneno na maana zetu zingine, kwahiyo hii ni lugha ya kibantu, ambayo inaweza kutumika kama kiswahili kama maneno mengine ya kihaya yanavyotumika katika kiswahili mfano kibuga hili maana yake ni uwanja wa mbele ya nyumba.
ReplyDeletemtoto anatombokt sana huyu yaani mtoto anaropoka sana
ReplyDeleteKwa wanaomshambulia ankal, kutomboka ni neno la kawaida si matusi kama mnavyodhania...mmarekani lugha ambayo anaanza kuongea after kuzaliwa ni English but hata akifika miaka 70, kuna maneno mengine mengi tu, hajui maana yake.
ReplyDeletemdau,
USA
hahahahahaahahahaahaaahahah! ncheka sana miye leo. Usite ncheke zaidi.. yatosha hasa
ReplyDeletewajameni kama kaka zetu wanakata mbuno kamamadada sijuwi inakuwaje wakati wetu tulivyokuwa vijana nunafurahiya kuona midondogo ya kina mama asii kweli bongo shule vijana samahanini yaelekeya ushoga unakunyemeleeni chungeni sana
ReplyDeleteni kikundi gani kilikuwa kinatombosha tombosha?
ReplyDeleteneno kutomboka sio geni kwa sisi wengine nahakika wengi wanaotoka au asili ya Manyema wanalifahamu hilo marehemu bibi yangu jina lake ukiniulza silitambui mpaka leo kwani zamani hukati majina unaita bibi tuu mama Jalala au bibi mama fulani na alikua akilitumia neno kutomboka ilikua ukileta jeuri anasema juu ya nini ukomukutomboka na kama mdau mwingine ana sema Bukoba nao wanaolo neno hilo hivyo sio geni
ReplyDeleteMisupu aliona misosi tu hana lolote ,,,
ReplyDeleteMichuzi eeh whats your email, nataka nikutumie mjadala!
ReplyDeletenaipenda hiyo picha ya kwanza. napenda michuzi unavyotishia.
ReplyDeleteKwa wale mliouliza nini maana ya kutomboka. Kwa hapa Tanzania lina maana ya kudansi. Acheni hizo maana za lilikotoka. Hapa limepewa umaarufu na wasanii wa "Ze Comedy" ambao wamekuwa wakilitumia kwa maana ya "kucheza muziki wa dansi au wa bolingo" na ndivyo limeshazoeleka hivyo.
ReplyDelete"Papa Michuzi, the International Bloglist, Na Kati ya Tegeta, Nambari One!", we acha tu Umetomboka ile mbaya,na hiyo elengi elengi ya Samaki! mimi naomba hiyo picha ya kwanza iingie kwenye kumi bora za mwaka, ambayo sisi wadau tutapigia kura
ReplyDelete