Home
Unlabelled
burudika na GOMA toka tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal hii ngoma ya kipemba siyo ya kitanga
ReplyDeletehii itakuwa mkwaju ngoma bilashaka
ReplyDeletemavuvuzizela hayooo afu mnasema yameanzia bondeni.
ReplyDeleteBabu wa vuvuzela ana mapafu kitu.
ReplyDeleteVUVUZELA, HA HA HA MZEE IMETULIA HIYO, GOOD FUNNY, I LIKE THAT
ReplyDeleteHii si ngoma ya Tanga japo imeshabihiana na ile ya Tanga.
ReplyDeleteHata hivyo imenivutia sana na kunikumbusha ya Tanga nitokako.
Kusema kweli, kwa mara ya kwanza,
umetuletea ngoma ya asili ya Kiswahili baada ya kila siku kuona mitindo ya kigeni! Tukumbuke kuwa "mwacha asili si jasiri" walituusia wahenga wa kale! Hongera sana kwa kutoletea ngoma hiyo ya kiasili nikitumaini utandelea kufanya hivyo, kwani wengi wa sisi tulioko ughaibuni miaka mingi, tumechoshwa na utamaduni wa kigeni (wa kizungu!) tunaouiga na kuuthamini zaidi kuliko wa kikwetu!
kuna tafauti kubwa baiba ya vuvuzela na tarumbeta hiyo hapo juu. ingawa zinaonekana kuwa na maumbile sawa lakini kuna tafauti juu ya namna ya kuipuliza.
ReplyDelete