Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Rais wa Fifa,Sepp Blatta wakiwa na mabingwa wapya wa Dunia mara baada ya kuwakabidhi kikombe chao cha ubingwa walioupata kwa kuitungua timu ya Taifa ya Uholanzi bao 1-0 lililofungwa na mchezaji Andres Iniesta dakika nne tu kabla ya mechi kumalizika.
Torres na wenzake wakifurahia ubingwa huo. Bwawa oye!
Mfungaji wa goli pekee lililoipa ubingwa timu ya Taifa ya Hispania,Andres Iniesta akishangilia goli lake muhimu lililoipatia ubingwa timu ya Taifa ya Hispania. 

Michu,
ReplyDeleteKwa wale wasiojua Kispanyola T shirt ya jamaa inasema "Dani Jarque (mchezaji wa Spain aliekufa kwa maradhi ya moyo August 2009) yuko pamoja nasi kila siku.
YULE PWEZA!
ReplyDeletesafi sana spain, waholanzi walicheza rafu sana, kubwa kuliko ni lile teke kama wako kwenye karate du! na refa aliwashikisha adabu wamelamba yellow card wote kasoro kipa wao
ReplyDeletePWEZA NOMAAAA!!!!!!!!
ReplyDeletekwa wataalam wa lugha.manemo yaliyoandikwa kwenye Tshirt ya A.Iniesta yana maana gani? hatimae Pweza ahitimisha utabiri wake.
ReplyDeletemtasema pweza kapatia!!!timu yenye maandalizi mazuri ndo inashinda!!!kwanza pweza mwenyewe anaotea vitu vilivyo mkono wa kulia tu mbona hatujaona akitabiri vilivyo mkono wa kushoto!!??zengwe tu!!
ReplyDelete"Dani Jarque always with us" that iniesta t-shirt says
ReplyDeleteMalisa BG
"Dani Jarque always with us" that iniesta t-shirt says
ReplyDeleteMalisa BG
Mambo yakiwa ni droo, pweza atafatabirije?
ReplyDeleteWajerumani hawajambo kwa mmambo ya kutabiri tabiri!
Sehemu za Philadelphia, Amerika, kuna wazungu wenye asili ya Ujerumani wenye kuamini winta itaisha lini kulingana na utabiri wa buku:
PUNXSUTAWNEY, Pa. — Punxsutawney Phil might be an expert at shadow spotting, but texting? Not so much.
About two hours after the famous groundhog “saw” his shadow and predicted six more weeks of winter, the rodent’s inaugural stab at text-messaging appeared. Phil also sent a Twitter update at about that time..
Kwa maelezo marefu, fungua:
http://blog.taragana.com/science/2010/02/02/punxsutawney-phil-texts-wintry-forecast-message-arrives-2-hours-after-shadow-spotted-5031/
thanks mdau wa kwanza hapo juu kwa kutujuza nilitamani sana kufahamu kilichoandikwa kweny t shirt ya inesta, Mungu ampunzishe kwa amani
ReplyDeletepweza siku zake numbered tutam deep fry ...haaa
ReplyDelete