Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Rais wa Fifa,Sepp Blatta wakiwa na mabingwa wapya wa Dunia mara baada ya kuwakabidhi kikombe chao cha ubingwa walioupata kwa kuitungua timu ya Taifa ya Uholanzi bao 1-0 lililofungwa na mchezaji Andres Iniesta dakika nne tu kabla ya mechi kumalizika.Torres na wenzake wakifurahia ubingwa huo. Bwawa oye!
Mfungaji wa goli pekee lililoipa ubingwa timu ya Taifa ya Hispania,Andres Iniesta akishangilia goli lake muhimu lililoipatia ubingwa timu ya Taifa ya Hispania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2010

    Michu,

    Kwa wale wasiojua Kispanyola T shirt ya jamaa inasema "Dani Jarque (mchezaji wa Spain aliekufa kwa maradhi ya moyo August 2009) yuko pamoja nasi kila siku.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    YULE PWEZA!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2010

    safi sana spain, waholanzi walicheza rafu sana, kubwa kuliko ni lile teke kama wako kwenye karate du! na refa aliwashikisha adabu wamelamba yellow card wote kasoro kipa wao

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    PWEZA NOMAAAA!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2010

    kwa wataalam wa lugha.manemo yaliyoandikwa kwenye Tshirt ya A.Iniesta yana maana gani? hatimae Pweza ahitimisha utabiri wake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2010

    mtasema pweza kapatia!!!timu yenye maandalizi mazuri ndo inashinda!!!kwanza pweza mwenyewe anaotea vitu vilivyo mkono wa kulia tu mbona hatujaona akitabiri vilivyo mkono wa kushoto!!??zengwe tu!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2010

    "Dani Jarque always with us" that iniesta t-shirt says

    Malisa BG

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2010

    "Dani Jarque always with us" that iniesta t-shirt says

    Malisa BG

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2010

    Mambo yakiwa ni droo, pweza atafatabirije?

    Wajerumani hawajambo kwa mmambo ya kutabiri tabiri!

    Sehemu za Philadelphia, Amerika, kuna wazungu wenye asili ya Ujerumani wenye kuamini winta itaisha lini kulingana na utabiri wa buku:


    PUNXSUTAWNEY, Pa. — Punxsutawney Phil might be an expert at shadow spotting, but texting? Not so much.

    About two hours after the famous groundhog “saw” his shadow and predicted six more weeks of winter, the rodent’s inaugural stab at text-messaging appeared. Phil also sent a Twitter update at about that time..

    Kwa maelezo marefu, fungua:

    http://blog.taragana.com/science/2010/02/02/punxsutawney-phil-texts-wintry-forecast-message-arrives-2-hours-after-shadow-spotted-5031/

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2010

    thanks mdau wa kwanza hapo juu kwa kutujuza nilitamani sana kufahamu kilichoandikwa kweny t shirt ya inesta, Mungu ampunzishe kwa amani

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2010

    pweza siku zake numbered tutam deep fry ...haaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...