Makamu Mwenyekiti wa timu ya Azam FC, Said Mohamed Said akifafanua suala la mchezaji Mrisho Ngasa aliripotiwa na baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa Yanga kuwa wanataka kumrejesha katika timu yake ya zamani. Hata hivyo Makamu Mwenyekiti huyo alisema kuwa suala la mchezi huyo kujiunga na timu yoyote ni ndoto kwa sasa kutokana na suala la usajili kufikia mwisho ifikapo Julai 14. 2010. idha Mwenyekiti huyo alitumia nafasi hiyo kutangaza kikosi kamili cha timu ya Azam FC kama ifuatavyo hapo chini:





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    Sheikh Said umefanya vyema kuwazindua wanachama mbumbumbu wa Yanga wanaodanganywa na wagombea uongozi. Ni kweli Tanzania tuna watu wanaofanya mzaha na akili za wenzao. Kifukwe na wenzake wamekuwa wakipiga debe kwamba ngasa atarudi Yanga . Hebu leteni sera munataka kuwa viongozi wa Barcelona na Real wanaoahidi kupeleka wachezaji mahiri kuwasajili. Sisi tunataka mambo ya msingi ambayo kampeni zielekezwe. Kifukwe ujiandae kuongoza kama kiongozi na sio kama style ya Friends of Simba ulioizoea kwa miaka mingi sasa. Ulipoulizwa kuhusu basi nawe unauliza swali baada ya kujibu swali. Linda heshima yako kwa kuwa na safu imara.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    huyo ongala si siyo mtanzania ?? plus hata kuwa mzee sasa !!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    SASA KAMA SI MTANZANIA? UMESIKIA AZAM NI TIMU YA TAIFA KAMA NCHI? HIYO NI KILABU... HATA WENGINE WAPO KUTOKA RWANDA NA KENYA NA SI WATANZANIA. BORA LIGI IBADILIKE IWE KAMA MIAKA YA 80's NDIO NASIKIA TIMU KAMA PAN AFRICAN ZILIWEZA KUSHINDA. NAOMBA TU RUSHWA ISICHEZWE SABABU TIMU INAPESA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2010

    nasikia azam wanajenga uwanja wao wa mpira CHAMAZI?

    aisee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...