Home
Unlabelled
madame rita paulsen akitangaza kuanza kwa bongo star search 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mama jina kubwa lakini anaongea pumba tupu. Imebidi niishie pale alipoeleza maisha yamebadilika na sasa hivi ana mchuma. Bongo kweli Tambarare kuwa na mchuma nni maisha kubadilika?
ReplyDeleteWakati umeenda wapi?
ReplyDeleteI have always thought you need akili to fanikiwa in Bongo!!!
ReplyDeleteLook how this sucessful intaprinuwa anavyojiganyaga kwenye press release as if hakujiandaa!
UMESHINDWA KUANDIKA KWA KISWAHILI????.......DAMN, KWELI BONGO TAMBARARE....MADAME RITA HUYO BWANA
ReplyDeleteAnkal Michuzi!
ReplyDeleteHabari za majukumu?
Mbona huyu dada noma anasema ameandika maneno kwa kiingereza hawezi kuyatafasili kwenda kiswahili!
Mie nina swali la kizushi kwako Ankal kwa kuwa ulikuwepo kwenye kikao chake. JE YEYE NI MBONGO HALISI AU NDO WAHAMIAJI? Na mwisho hayo aliyoyandika kwa lugha ya Ukerewe ayaonyeshe tuwatafasilie walala hoi. Kwa ujumla mie nachukizwa sana na wabongo kuwa wanongea kiswahili na kuchanganya ndani kiingereza basi ingekuwa vizuri kieleweke mtu amwage kimombo na kuwe na wakalimani. Weka huu ujumbe Ankal usiupuze.
BSS inaweza stand for alot of things,Huyu binti VP????Kuuliza si ujinga.
ReplyDeleteBSS-BONGO STARS SEARCH lugha za wa2 hizi.
ReplyDeletekishankupe kinajishebedua! ww watu wanakusikiliza na ww unaongea kama unatongozwa uchochoroni na muuza chips yai!
ReplyDeleteMADAMU RITHA, HUU NI UPUUZI, KWANI WEWE UMEKUWA YOHANA MASHAKA UNASHINDWA KUTAFSIRI KWA KISWAHILI, KIZUNGU CHENYEWE MGOGORO SASA CHA KUSHINDWA KUTAFSIRI NI NINI? HATUTAKI HAYA MAMBO YA KIINGEREZA ZA JOHN MASHAKA HAPA
ReplyDeleteMambo ya Bongo.Shule haijapanda ndo maana anaongea pumba.
ReplyDeleteWe Rita kachukue course inayo-involve public speaking.. sio jambo la kuonea aibu kujiendeleza katika sehemu unayoona inakutatiza.Mi msomi lakini pia nilikuwa siwezi kujieleza kwa hiyo nikatilia mkazo hilo eneo na sasa niko fit. Director mzima huwezi chomekea neno "mchuma" kwenye press conference kufafanua mafanikio ya mtu.Pia unababaika na kujikanyaga kama mtoto wa shule.
ReplyDeleteMichuzi usibane tunaelimishana tu bro.
HUYU NI MGANDA NAFAHAM STORY YAKE FIKA.kamtesa mama mengi hana lolote kaja kumtesa marehem mama yetu arudi kampala.anaongea na maringo mengi anazani atampata mengi mwengine,toka zako
ReplyDeleteDolaman,
ReplyDeleteMaza kapendeza kweli huyu.
Rita please stop kunijia ndotoni kila niki sleep na kunifanya moyo wangu unisaliti. me luv you to much dia .
ReplyDeletemdau UK.