Je, Wataka kukijuaaa........????
kama unataka kukijua ni kitu gani,basi endelea kuhesabu hizo siku zilizobakia na utakiona,utakifurahi na kukipenda pia.mpaka leo zimesalia siku nne tu kuweza kuonekana na kufahamika kwa hicho kitu kinachotarajiwa kufunguliwa hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2010

    Kwa manguo hayo ya kijani na njano, lazima itakuwa picha ya Manji!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Kwa sisi watu wa forensic ni kwamba there is nothing special coming out there apart from the campaign billboard for JK and his green party

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Bora tu isiwe pombe!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2010

    Dalili za mvinyo hizo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Natumaini yaweza kuwa SANAMUHANDSOME YA JK

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2010

    Picha ya Kikwete na sisiemu kutaka kuchaguliwa tena.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2010

    Astaghfirullah..bora isiwe mkojo wa firauni tu..ila kama ni mbwembwe za uzinduzi wa kampeni zetu..mashaalah

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2010

    MGOMBEA URAIS MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE. BAADA YA HALI MPYA,KASI MPYA, NGUVU MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA SASA MIMI NAHISI WANAKUJA NA KALI ZAIDI SASA TUSUBILI TUU YAWEZA KUWA

    C-CHAMA
    C-CHA
    M-MIUNDOMBINU

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2010

    EWE MOLA ISIWE POMBE TU,KWANI HIZI ZILIZOPO NAMJUTA MUME WANGU,MPARE HUYU KWA POMBE NAJUTA KUOLEWA NAEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  10. Itakuwa ni Ndovu special Malt in a new shape and taste haaa haaa haaa!!! Walevi mna kazi. CCM Oyeeeeeeeeee!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2010

    kwa wale wadau ya kinywaji aka the lager hii itakuwa ni chupa ya bia na kwa uhakika zaiadi i think itakuwa Ndovu Lager!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 20, 2010

    Iyo ni sigara mpya.............

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 20, 2010

    bango la Yanga SC

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 20, 2010

    Dalili kubwa ya ulabu tu..nothing else!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 20, 2010

    ndovu spesho malti

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 20, 2010

    ha ha ha haaaaa!!!ze kontents aa rili faniiiiiii

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 20, 2010

    Nimekusanya zote mlizotabiri hapo juu (Sanamu ya JK, Lager, Sigara, bango la yanga n.k ) sasa naelekea Feri kununua pweza jioni nitawajuza hakuna haja ya kusubiri kwa siku zote tano.

    Observer

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 20, 2010

    Lazima itakuwa sanamu ya mgombea mweza za JK Dr Ghalib Bilal al shaabab. Siii mtaonaa

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 20, 2010

    Another pombe!!God loves chapombe`s,uhuuuu leta leta mpya,heineken ya china mpya hiyo(ndovu)

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 20, 2010

    Mimi nitatbiri kila kitu kwa 100% ila naomba kwanza nipewe mbeba boksi wa kike wa kuoa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 20, 2010

    Hili lazima ni Tangazo la NDOVU special Malt linakuja. Ila limewekwa kwenye eneo la miundombinu ya umeme..hatari sana hii

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 20, 2010

    mdau wa Tue Jul 20, 10:01:00 AM

    sina mbavu mweeee

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 20, 2010

    BILA PWEZA PAUL HAPO MSIJISUMBUE. ILA NAFIKIRI NI KILAJI KIPYA CHA WACHAGA JAMII YA KINACHOITWA MBEGE KWANI NAONA MIGOMBA KIBAO. WACHAGA SASA MBEGE ITAKUWA INATENGENEZWA NA TBL NA KUWEKWA KWENYE CHUPA KWA HIYO ITAPATIKANA POPOTE ULIPO KWENYE BAR YAKO YA KARIBU

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 20, 2010

    Hizo rangi zimenichosa sasa. Hamna kipya bongo usanii mtupu. Afadhali iwe pombe kuliko Chama cha mafisadi. Michuzi bania na hii lakini you will pay back one time. Nani alijua yaliyotokea kenya yatatokea???

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 21, 2010

    dada uliyeolewa na mpare pole, kwani jamaa analewa sana? hope haaribu zaid

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 21, 2010

    mdau wa july 21,04:04 am

    MUNGU AKUBARIKI KWA KUNIONEA HURUMA. NIOMBEE KWA MUNGU MPARE HUYU AACHE,NA MIMI NAFUNGAGA KABISA.ILA NAOGOPA SIJE AKAACHA ULABU AKAHAMISHIA ULEVI KWA KINA DADA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...