Home
Unlabelled
kitu kipya chanukia jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa manguo hayo ya kijani na njano, lazima itakuwa picha ya Manji!
ReplyDeleteKwa sisi watu wa forensic ni kwamba there is nothing special coming out there apart from the campaign billboard for JK and his green party
ReplyDeleteBora tu isiwe pombe!
ReplyDeleteDalili za mvinyo hizo.
ReplyDeleteNatumaini yaweza kuwa SANAMUHANDSOME YA JK
ReplyDeletePicha ya Kikwete na sisiemu kutaka kuchaguliwa tena.
ReplyDeleteAstaghfirullah..bora isiwe mkojo wa firauni tu..ila kama ni mbwembwe za uzinduzi wa kampeni zetu..mashaalah
ReplyDeleteMGOMBEA URAIS MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE. BAADA YA HALI MPYA,KASI MPYA, NGUVU MPYA NA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA SASA MIMI NAHISI WANAKUJA NA KALI ZAIDI SASA TUSUBILI TUU YAWEZA KUWA
ReplyDeleteC-CHAMA
C-CHA
M-MIUNDOMBINU
EWE MOLA ISIWE POMBE TU,KWANI HIZI ZILIZOPO NAMJUTA MUME WANGU,MPARE HUYU KWA POMBE NAJUTA KUOLEWA NAEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeleteItakuwa ni Ndovu special Malt in a new shape and taste haaa haaa haaa!!! Walevi mna kazi. CCM Oyeeeeeeeeee!!!!!!!
ReplyDeletekwa wale wadau ya kinywaji aka the lager hii itakuwa ni chupa ya bia na kwa uhakika zaiadi i think itakuwa Ndovu Lager!!!
ReplyDeleteIyo ni sigara mpya.............
ReplyDeletebango la Yanga SC
ReplyDeleteDalili kubwa ya ulabu tu..nothing else!
ReplyDeletendovu spesho malti
ReplyDeleteha ha ha haaaaa!!!ze kontents aa rili faniiiiiii
ReplyDeleteNimekusanya zote mlizotabiri hapo juu (Sanamu ya JK, Lager, Sigara, bango la yanga n.k ) sasa naelekea Feri kununua pweza jioni nitawajuza hakuna haja ya kusubiri kwa siku zote tano.
ReplyDeleteObserver
Lazima itakuwa sanamu ya mgombea mweza za JK Dr Ghalib Bilal al shaabab. Siii mtaonaa
ReplyDeleteAnother pombe!!God loves chapombe`s,uhuuuu leta leta mpya,heineken ya china mpya hiyo(ndovu)
ReplyDeleteMimi nitatbiri kila kitu kwa 100% ila naomba kwanza nipewe mbeba boksi wa kike wa kuoa.
ReplyDeleteHili lazima ni Tangazo la NDOVU special Malt linakuja. Ila limewekwa kwenye eneo la miundombinu ya umeme..hatari sana hii
ReplyDeletemdau wa Tue Jul 20, 10:01:00 AM
ReplyDeletesina mbavu mweeee
BILA PWEZA PAUL HAPO MSIJISUMBUE. ILA NAFIKIRI NI KILAJI KIPYA CHA WACHAGA JAMII YA KINACHOITWA MBEGE KWANI NAONA MIGOMBA KIBAO. WACHAGA SASA MBEGE ITAKUWA INATENGENEZWA NA TBL NA KUWEKWA KWENYE CHUPA KWA HIYO ITAPATIKANA POPOTE ULIPO KWENYE BAR YAKO YA KARIBU
ReplyDeleteHizo rangi zimenichosa sasa. Hamna kipya bongo usanii mtupu. Afadhali iwe pombe kuliko Chama cha mafisadi. Michuzi bania na hii lakini you will pay back one time. Nani alijua yaliyotokea kenya yatatokea???
ReplyDeletedada uliyeolewa na mpare pole, kwani jamaa analewa sana? hope haaribu zaid
ReplyDeletemdau wa july 21,04:04 am
ReplyDeleteMUNGU AKUBARIKI KWA KUNIONEA HURUMA. NIOMBEE KWA MUNGU MPARE HUYU AACHE,NA MIMI NAFUNGAGA KABISA.ILA NAOGOPA SIJE AKAACHA ULABU AKAHAMISHIA ULEVI KWA KINA DADA.