KUTAKUWA NA KONGAMANO LA
MWL. MWAKASEGE
LITAKALO FANYIKA READING KUANZIA TAREHE 30 JULAI MPAKA TAREHE 1 AGUSTI 2010.
KATIKA UKUMBI WA RIVER MEAD LEISURE CENTRE,
READING RG1 8EQ.

IJUMAA TAR 30 KUTAKUWA NA SOMO LA UCHUMI, JINSI YA KUFANIKIWA KIUCHUMI.

MUDA KUANZIA SAA TISA (9) ALASIRI.

KWA WALE WATAKAO HUDHURIA SIKU ZOTE NA WANATAKA HOTELI ZA KUFIKIA KARIBU NA UKUMBI.

WASILIANA KWA NAMBA ZIFWATAYO
KWA MAELEKEZO ZAIDI.
07910034016
07894331394

KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA KONGAMANO
ZIMA WASILIANA KWA NAMBA:-
078888841971
07944632826

MJULISHE NA MWENZIO

WOTE MNAKARIBISWA
ATCE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2010

    Hii ni mada nzuri sana kwa sababu inagusa kila mbeba box kibinafsi maana, pamoja na mambo mengine, wengi mmefuata pesa ughaibuni. Wazo langu kubwa, kwa ambao bado ni vijana kama mimi, mfikirie mustakabali wa maisha baada ya ujana wenu wakati nguvu zimeisha, je sheria zinaruhusu kuishi huko uzeenikama huna karatasi na mambo kama hayo...nk.


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2010

    Sijaelewa muda vizuri,inamaana ijumaa mpka j2 mambo yataanza saa9 mchana?ufafanuzi tafadhari.
    Lulu Reading

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2010

    Unapoambia ijumaa mpaka j2 maana yake unakaribishwa hiyo ijumaa muda ulioambia ila usiku unarudi kulala kwako , tena jumamosi uje saa kama ijumaa na j2 kuanzia saa utakayoambiwa siku ya jmosi kama utaudhuria au utajilishwa na wapendwa. Mungu akubariki na karibu sana Kwenye mahubiriya mwakasege.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...