Anko wa libeneke naomba uwafikishie watanzania mambo mema!
"Timu nzima ya AfroIT imekamilisha hatua ya pili ya AfroIt ambayo imesheheni kwenye kila kona ya ICT ndani ya muonekano mpya wa kuvutia huku ikimuwezesha mtumiaji kupata kila kitu kwa pamoja.Usipitwe kwa kutembelea AfroIT kama unahitaji kudownload vitabu vya ICT,kujadiliana matatizo ya ICT,blogs za ICT.kuangalia video za ICT,kusikiliza Podcast za ICT na mengineyo mengi.
http://www.afroit.com
Walenga walisema "Azabu ya kaburi aijuaye maiti". AfroIT ikiwa ni mtandao wa Watanzania unaelewa kwa undani nini Watanzania tunahitaji hivyo hufikisha Elimu sahihi kwa watu sahihi ndani ya muda sahihi.

EBU KWANZA KIDOGO MDAU.....HIYO AZABU YA KABURI APO INAINGIAJE?
ReplyDeleteHawa AfroIT.com wanasambaza wizi wa kazi za watu wengine (haki miliki/copyright infringement), pirates wa materials zilizotengenezwa kama biashara, wao wanasema wameziokota na wanawapa watanzania mali za wizi. Hamna hata kitu kimoja wao, wanaICT hawa wa AfroIT wamekitengeneza na kukiweka katika kiota chao, bali, wapo macho juu juu kutafuta mali za watu na kuziweka kwenye site yao.
ReplyDeleteNasema tena, hatutaki vitu vya wizi!
shida yako ni nini?hata UK kuna website kibao wanatoa material free.Sioni tatizo lolote kwa afroit.Sisi watanzania tunalalamika sana ,badala ya kufurahia ni kupiga majungu.
ReplyDeleteMimi imenisaidi sana hii afroit,Chuo kikuu chetu ukiingia bado wanatumia vitabu vya zamani.leo
Usipoteze watu kijana,AfroIT ni mkombozi wetu,pia tatizo umeshaoshwa na sera za kubepari wewe.Binafsi nimefaidika sana na AfroIT.Kule kuna watu waliobobea na moyo wa kuwasaidia watu,kama huna la kusema bora ulala.Youtube hausemi ila kwakuwa hii AfroIT ni ya watanzania ndio unafungua mdomo.
ReplyDeleteNakushauri tembelea website nzima halafu ndio uje kutoa maddongo.
Mdau-Leads
Sio kuwa nina shida, nahoji hiyo position kuwa wanawasaidia watanzania bila kuweka uwazi kuwa hii "mali" ni ya wizi. Ningekuwa na shida ningekuwa hospitali. Sito furahia uhalamia wa aina yoyote, sidhani kwa hilo nitapungukiwa kuwa mtanzania.
ReplyDeleteKama umefaidika basi, jitolee na'wewe utengeneze hicho kitabu, hizo lessons halafu uwakabidhi hawa afroIT waziunganishe kwenye jalala lao. Ninasubiri hiyo kutoka kwako...
Sasa lawama ya chuo chako kuwa backwards basi inakupa go-ahead ya kuwa mwizi....