PLS PLS PLS WATCH, IT'S REALLY WORTH IT.
AND TO MY FELLOW SMOKERS ALSO.THANK YOU FOR YOUR COMMENTS. Its not a song for me, its a pursuit to quit smoking...a shear reality of dangerous habit.. if you need mp3 of this song, pls email me.."NYIMBO MP3" on sujitbhojak@hotmail.com
simu: 0754 373733,
THANKS, SUJIT
wimbo huuu ulipaswa kupeperushwa na vyombo vya habari nchini lau mara mbili kwa siku ili ujumbe mkali uliomo upate kukaa barabara katika "sub-conscious minds" za wavutaji wote na vijana chipukizi wote wa taifa. Hongera mtungaji kwa kudiriki.
ReplyDeleteahsante sana kwa maoni yenu. mtu yoyote anayetaka mp3 ya video hii, anaweza kunitumia email, sujitbhojak@hotmail.com, simu: 0754 373733.
ReplyDeleteandika kichwa, "nyimbo mp3", mimi pia na ahidi kwamba nita acha kuvuta sigara, na kunuka na sigara. enough is enough !!! sujit bhojak
THANK YOU FOR YOUR COMMENTS. Its not a song for me, its a pursuit for quit smoking...a shear reality of dangerous habit.. if you need mp3 of this song, pls email me.."NYIMBO MP3" on sujitbhojak@hotmail.com, simu: 0754 373733, ahsante sana. sujit bhojak
ReplyDeleteWestern Culture imetawala Africa.Vijana wengi wanaiga maisha ya Ulaya na Marekani. Kuvuta sigara imekuwa kama fashion flani. Kwaio ni kazi sana kuelimisha jamii. Mfano ukiangalia Big Brother Afica 5, almost washiriki 10 wanavuta sigara all the time. Men to women!!! na wazazi wengi wenye uwezo huweka DSTV majumbani mwao kwaio watoto wao huangalia na kuoana ni LIFE STYLE ya kisasa. Kiingereza kingi!!! Sidhani kama kizazi hiki cha International schools kitaelewa hatari za sigara. Kazi ipo!!!
ReplyDeleteIla mimi nashangaa kuona kuwa huku Uingereza vijana wa kiume wachacha sana wanavuta sigara.
ReplyDeleteIla kwa vijana wa kike ndio wanaoongoza kwa kuvuta sigara hapa Uingereza.
Mdau
jijini London.
ndugu wewe umeacha kuvuta?Nakumbuka nilikuja kwa ofisi yako nikakutana na harufu ya fegi!!!!!
ReplyDelete