PLS PLS PLS WATCH, IT'S REALLY WORTH IT.

AND TO MY FELLOW SMOKERS ALSO.THANK YOU FOR YOUR COMMENTS. Its not a song for me, its a pursuit to quit smoking...a shear reality of dangerous habit.. if you need mp3 of this song, pls email me.."NYIMBO MP3" on sujitbhojak@hotmail.com

simu: 0754 373733,
THANKS, SUJIT

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2010

    wimbo huuu ulipaswa kupeperushwa na vyombo vya habari nchini lau mara mbili kwa siku ili ujumbe mkali uliomo upate kukaa barabara katika "sub-conscious minds" za wavutaji wote na vijana chipukizi wote wa taifa. Hongera mtungaji kwa kudiriki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2010

    ahsante sana kwa maoni yenu. mtu yoyote anayetaka mp3 ya video hii, anaweza kunitumia email, sujitbhojak@hotmail.com, simu: 0754 373733.
    andika kichwa, "nyimbo mp3", mimi pia na ahidi kwamba nita acha kuvuta sigara, na kunuka na sigara. enough is enough !!! sujit bhojak

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2010

    THANK YOU FOR YOUR COMMENTS. Its not a song for me, its a pursuit for quit smoking...a shear reality of dangerous habit.. if you need mp3 of this song, pls email me.."NYIMBO MP3" on sujitbhojak@hotmail.com, simu: 0754 373733, ahsante sana. sujit bhojak

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2010

    Western Culture imetawala Africa.Vijana wengi wanaiga maisha ya Ulaya na Marekani. Kuvuta sigara imekuwa kama fashion flani. Kwaio ni kazi sana kuelimisha jamii. Mfano ukiangalia Big Brother Afica 5, almost washiriki 10 wanavuta sigara all the time. Men to women!!! na wazazi wengi wenye uwezo huweka DSTV majumbani mwao kwaio watoto wao huangalia na kuoana ni LIFE STYLE ya kisasa. Kiingereza kingi!!! Sidhani kama kizazi hiki cha International schools kitaelewa hatari za sigara. Kazi ipo!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2010

    Ila mimi nashangaa kuona kuwa huku Uingereza vijana wa kiume wachacha sana wanavuta sigara.

    Ila kwa vijana wa kike ndio wanaoongoza kwa kuvuta sigara hapa Uingereza.

    Mdau
    jijini London.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2010

    ndugu wewe umeacha kuvuta?Nakumbuka nilikuja kwa ofisi yako nikakutana na harufu ya fegi!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...