Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Fani himeingiliwa !!

    ReplyDelete
  2. this is so nice

    ReplyDelete
  3. Wewe Kajumulo,jifunze kiswahili fasaha ili unapowafundisha wasio kijua wakitumie kiufasaha, Nyelele ndio nini?!!!,Baba wa taifa anaitwa JK Nyerere,kama haujautoa huo wimbo sokoni,nenda ukau edit. Ushauri wa bure huo. Mdau London

    ReplyDelete
  4. Yaani nikishasikia wimbo mtu anaimba 'l' badala ya 'r' naacha kuusikiliza. Wimbo angau nimeweza kuuvumilia kidogo hadi sasa ni MbagaRa MbagaRa MbagaRaaaa.

    Najua wenye tatizo hilo hawapendi, lakini wajaribu jamani

    ReplyDelete
  5. kuadvocate unit ishapitwa na wakati kila mtu na lwake.

    sasa ni kumuelimisha muafrika la sivyo tutaendelea kutawalwa we are late
    SHERIA NA HAKI ZIFUATWE
    MWAFRIKA AELIMISHWE NA APEWE POWER KATIKA UCHUMI NA BIASHARA.
    LA SIVYO TUTAKUWA WATUMWA KWANI TANZANIA UCHUMI UMESHIKILIWA NA WAGENI NA SIO WAZAWA BLACK AFRICANS.
    DUNIANI KOTE WAFANYA BIASHARA WAKUBWA NI WENGINE WAAFRIKA HATUPO KABISA TATIZO NI NINI NAOMBA MSAADA WADAU?

    ReplyDelete
  6. GOOD KAJU. Ila mmenifurahisha, mnaweza kukatamka vyema neno "real" ila mnashindwa kutamka jina "Nyerere", mnasema "Nyelele"!

    ReplyDelete
  7. The idea behing the song is very exciting, the song itself, very depressing.

    ReplyDelete
  8. Wanasema "NYELELE!!" Duh!!

    ReplyDelete
  9. Kajumulo kumbe ni Kajumuro...lol
    Eti mwalimu Nyelele

    ReplyDelete
  10. Welldone babu Kaju hii nimeikubali mwenyewe, dont giveup!! ur nearly there>

    ReplyDelete
  11. E mama mbavu zangu weeee!! LMAO! Mwarimu Nyelele!

    ReplyDelete
  12. Nyie mnaojidai kuwakosoa wenzio katika matumizi ya lugha shauri yenu wenzio wanasonga mbele kila kukicha. Nyie mmekalia mambo ya matamushi ya maneno. Mara "R" or "L."


    Mmekuwa kama Wamarekani wanaokalia eti "Ujie Kiingereza, una ACCENT. Kumbe watu wanatumia hiyo Accent wanakuwa MADAKTARI.


    Mtu kaisha anza kuuza eti Nyerere ama Nyelele, R or L. Wewe sio mtu kumkosoa mwenzio.

    Endelea kuchanganua matamushi ya watu LITAWACHWEA PUUUUUUUUUU

    Kokwenda- USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...