Home
Unlabelled
Alex Kajumulo's BONGO LEGEND hit number
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Fani himeingiliwa !!
ReplyDeletethis is so nice
ReplyDeleteWewe Kajumulo,jifunze kiswahili fasaha ili unapowafundisha wasio kijua wakitumie kiufasaha, Nyelele ndio nini?!!!,Baba wa taifa anaitwa JK Nyerere,kama haujautoa huo wimbo sokoni,nenda ukau edit. Ushauri wa bure huo. Mdau London
ReplyDeleteYaani nikishasikia wimbo mtu anaimba 'l' badala ya 'r' naacha kuusikiliza. Wimbo angau nimeweza kuuvumilia kidogo hadi sasa ni MbagaRa MbagaRa MbagaRaaaa.
ReplyDeleteNajua wenye tatizo hilo hawapendi, lakini wajaribu jamani
kuadvocate unit ishapitwa na wakati kila mtu na lwake.
ReplyDeletesasa ni kumuelimisha muafrika la sivyo tutaendelea kutawalwa we are late
SHERIA NA HAKI ZIFUATWE
MWAFRIKA AELIMISHWE NA APEWE POWER KATIKA UCHUMI NA BIASHARA.
LA SIVYO TUTAKUWA WATUMWA KWANI TANZANIA UCHUMI UMESHIKILIWA NA WAGENI NA SIO WAZAWA BLACK AFRICANS.
DUNIANI KOTE WAFANYA BIASHARA WAKUBWA NI WENGINE WAAFRIKA HATUPO KABISA TATIZO NI NINI NAOMBA MSAADA WADAU?
GOOD KAJU. Ila mmenifurahisha, mnaweza kukatamka vyema neno "real" ila mnashindwa kutamka jina "Nyerere", mnasema "Nyelele"!
ReplyDeleteThe idea behing the song is very exciting, the song itself, very depressing.
ReplyDeleteWanasema "NYELELE!!" Duh!!
ReplyDeleteKajumulo kumbe ni Kajumuro...lol
ReplyDeleteEti mwalimu Nyelele
Welldone babu Kaju hii nimeikubali mwenyewe, dont giveup!! ur nearly there>
ReplyDeleteE mama mbavu zangu weeee!! LMAO! Mwarimu Nyelele!
ReplyDeleteNyie mnaojidai kuwakosoa wenzio katika matumizi ya lugha shauri yenu wenzio wanasonga mbele kila kukicha. Nyie mmekalia mambo ya matamushi ya maneno. Mara "R" or "L."
ReplyDeleteMmekuwa kama Wamarekani wanaokalia eti "Ujie Kiingereza, una ACCENT. Kumbe watu wanatumia hiyo Accent wanakuwa MADAKTARI.
Mtu kaisha anza kuuza eti Nyerere ama Nyelele, R or L. Wewe sio mtu kumkosoa mwenzio.
Endelea kuchanganua matamushi ya watu LITAWACHWEA PUUUUUUUUUU
Kokwenda- USA