Siku Jumatano ya tarehe 11 Agosti 2010 nilipata fursa ya kusikiliza Dira ya BBC na kuwasikia viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa kwa nchi za Afrika Mashariki wakizungumzia masuala ya vyama na uchaguzi.

Mada ilikuwa, "Je! Vyama vya upinzani vina nguvu kiasi gani katika siasa za Afrika Mashariki na Kati?"

Wawakilishi katika mada na mahojiano hayo walikuwa:

Salim Kikeke na Zawadi Machibya - BBC Swahili
Pius Msekwa - Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania
Ababu Namwamba - Orange Democratic Movement (ODM) Kenya
Rubaramira Ruranga - Forum for Democratic Change (FDC) Uganda
Jenerali Twaha Ulimwengu - Mwandishi wa habari na mchambuzi wa siasa

Da'Subi wa www.wavuti.com alirekodi mazungumzo hayo kama unavyoweza kuyasikia kwenye pleya inayofuata.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. huyo pius msekwa mbona anaongea kwa jaziba na ubabe namna hiyo mmmh?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...