Fid Q kaja na libeneke baabkubwa. Anastahili sifa kuwa mmoja wa wasanii wa kwanza wa kizazi kipya kuwa na uchu wa maendeleo ya kupashana habari kwa njia ya mtandao. Libeneke lake linaenda kwa jina la www.cheusidawa.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. usipompenda ndugu yako utampenda mungu usiyemuona.

    Mwanza! mwanza! mwanza!

    I luv the town despite of never been there before but I still call it home.Mimi msukuma niko safarini siku moja nitakuona Mwanza nunua nyumba na kuishi nawe milele. I LUV MWANZA CITY.

    KEEP REP the city boi....

    ReplyDelete
  2. Kaka Hongera saana Kwa hatua ulopiga!! Ila sijui humo ndani ya globo itakuaje maana hapo juu naona full kujimilikisha!! Maloveeeeee

    ReplyDelete
  3. Baba UbayaAugust 13, 2010

    unaposema "Msanii wa kwanza wa kizazi kipya" ina maana kina Lady JD wao ni wa kizazi kipi?nadhani Lady JD,Nakaaya Sumari na wengine kadhaa walishaanza mambo hayo kabla ya huyu.anyways,ni mtazamo wangu tu.
    hongera Fiq!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Soma post vizuri kabla ya kukurupuka kucriticise. Mithupu kasema m1 wa wasanii wa kwanza na si kwamba yeye ndio wa kwanza kabisa ktk mpango mzima wa libeneke

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...