Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Kyando Mchechu katika mahojiano na nguli la habari Mzee Makwaia wa Kuhenga katika kipindi cha Channel Ten cha 'Je Tutafika?' cha wiki hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Marangu OneAugust 13, 2010

    Msechu ni Kifaa. Hapa tumepata

    ReplyDelete
  2. Watanzania wenye asili ya weusi(wazawa) tunawezaje kupata nyumba za kupanga za NHC hasa za upanga au zile ni maalum kwa wenzetu wahindi tu?

    ReplyDelete
  3. HALO MICHUZI THANK FOR THIS VIDEO
    IT GIVES US THE INFORMATION WE NEED.

    NAKUSHAURI UTUMIE DVR AU PVR KUREKODI VIDEO ZAKO VIZURI TOKA KWENYE TV BADALA YA KUREKODI KWA KUTUMIA VIDEO KAMERA MBELE YA TV.WHEN YOU RECORD VIDEO FROM TV BY DVR OR PVR THE QUALITY OF YOUR VIDEO IS BETTER THAN THIS.THANKS AGAIN FOR THIS INFORMATION

    ReplyDelete
  4. Bro Michuzi ahsante kwa hii interview. Mimi napenda kumuunga mkono Mr.Nehemia kuhusu suala la kuongeza tax base kwa maana kwamba wenye nyumba wengi Dar-es- salaam wanalipa land tax ambayo kwa mtazamo wangu naona haitoshi.Chukulia mfano mtu mwenye nyumba ya vyumba sita anapata kiasi cha laki tatu kwa mwezi halafu analipa kodi ya elfu kumi kwa mwaka naona hakuna uwiano mzuri.Mimi nafikri licha ya kulipa land tax serikali ilitakiwa iwe inatoza kodi pia kwenye mapato ya mwezi kama vile katika schedule za tax zinavyoonyesha kwa wafanyakazi kwa sababu wafanyakazi kwa mshahara wa laki tatu tayari unatakiwa ukatwe pay as you earn, sasa kwa nini kwa watu wenye nyumba za kupangisha wasilipe kodi katika mapato wanayopata kwenye kodi za nyumba?

    ReplyDelete
  5. Wakazi wa Upanga na kariakoo nafikiri mtanielewa,
    mimi ni mzawa wa Tz
    naona hapa ni sehemu muafaka kwa kutoa malalamiko yangu niliyokuwa nayo moyoni,
    Ndugu Mkurugenzi mkuu huku upanga na mjini kote sasa hivi kuna uvunjwaji unaendelea mkubwa sana wa majengo ya zamani na kuyaweka kuwa maghorofa makubwa ya hadi ghorofa 11,cha ajabu vile mnavyoamisha watu wa chini waliokuwa wamepanga kwenye hizo nyumba za chini,na pindi tu hayo maghorofa yakimalizika wanahamia WAHINDI kuanzia juu hadi chini,nakuambia fanyeni uchunguzi ghorofa zima linimejaa wahindi na wengi wao hawajui kiswahili.
    Swali ni je hizi nyumba zinakuwa zimeuzwa na zinakuwa zimezuiwa kutumiwa na waswahili?
    Na je hii bomoa bomoa na kujenga maghorofa holela mjini kwa maana hamtaki historia kwa badae warithi watoto wenu waone tanzania imetoka wapi na inakwenda wapi?

    Na je kwa nini mnang'ang'ania mjini kwa nini msiende kujenga nyumba au maghorofa makubwa kama haya huko mbezi mwisho kuepuka msongamano mjini,au hamuoni kama ndio mnazidisha msongamano wa magari na watu mjini ndio maana sasa hizi foleni ya mjini haifai???

    Mimi nimepoteza Imani kabisa na serikali yangu kabisa,naona haina muekeo kabisa,kero ni nyingi sana hadi zinaudhi,hizi ni kero ya makazi tu,na wala sina haja ya kumshukuru wala kumpongeza huyu kaka hadi afanye mambo kwanza ndio nitaona umuhimu wake kwa sasa bado kabisa atanisamehe.

    Kwa wizara husika jamani pia msiuze nyumba ovyo wazawa wengi sana wanataka nyumba za nafuu,kuna vijana wengi sana walioanza kazi wanashidwa kuondoka nyumbani na kwenda kujitegemea kwa sababu ya gharama za kupanga nyumba zilivyo juu,kwa nini shirika la nyumba limekuwa na wapangaji wengi wahindi? mimi nimeona kabisa utakuta muhindi anajigamba ananyumba tatu Upanga na analipa kodo chini ya sh 200,000 kila moja lakini vijana wetu walioanza kazi wanashidwa kujitegemea? kwa sababu ya kukosa nyumba za unafuu kama za shirika la nyumba ,au lengo la shirika la nyumba ni nini Hasa,

    Kingine mnabomoa na kujenga hadi sehemu ya kuchezea vijana,kwa msfano sasa hivi kuna Tajiri au matajiri tuseme amenunua pale Skati ya kike upanga,sasa hawa maskatuti wa kike watakwenda wapi jamani??
    na si ajabu pale ndani skauti ya kiume pameshanunuliwa,
    YETU MACHO

    ReplyDelete
  6. The brother knows his stuff. Kama asilimia 50% tu ya Watanzania watoa maamuzi wangekuwa na uwezo kama wa huyu bwana Tanzania ingekuwa mbali.

    ReplyDelete
  7. Nehemiah, housing finance sio kitu rahisi kama unavyokizungumza, kama hatujaweza kuwa na credit bureau na kuweza kujua credit status ya watu sioni ni benki gani itakayokopesha watu kama wanavyokopesha kwa wenzetu huko majuuu. Wengi wa watanzania wasiokuwa na nyumba hawatoweza kukopa kwa sababu creditworthness yao haijulikani.
    Kwanza inabidi serekali ifanye kila juhudi kuimarisha credit bureau zilizopo na kuhamasisha wananchi kubuild credit zao. Halafu kwa risk ilivyo kubwa interest zitakuwa za juu sana.
    Nehemiah 20 years ni muda mfupi, wenzetu wa ulaya miaka 30 ndio average tenure/life ya housing loans

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...