Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho kushoto, akizungumza jambo na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Nje ya ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma leo, baada ya kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi kesho asubuhi. Katikati ni Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, kulia Mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Zakia Hamdani Meghji.
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma leo, kabla ya kuaghirishwa kwa kikao hicho hadi kesho asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. SS kwa MGB, mkuu usinisahau ka-uwaziri baraza lijalo, Shikaamoooo!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Ningependa kama VP angekua huyu mwanamama, anamvuto kuliko huyo hao nina yakhe..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...