Home
Unlabelled
mwenge wa uhuru waingia mvomero
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HABARI ZA KAZI BROTHER MICHUZI, NAOMBA NIULIZI SWALI BRO. HIVI HUU MWENGE WA UHURU, NINI FAIDA YAKE, MIMI NAFIKIRI UNAPOTEZA PESA ZA SEREKARI BURE. AU NINI KUSUDIO LA MWENGE HUU.
ReplyDeletejamani mimi niko nje ya mada naomba mnijuze namna ya kupata habari ya siku za nyuma maana compyuta yangu ilikuwa na matatizo kidogo sasa sijuii namna kupata habari za nyuma pls
ReplyDeleteKwa mazingira tunayoishi sasa mwenge hauna maana wala faida yoyote, kwa kweli ni kupoteza sio muda tu, bali fedha na rasilimali nyingi za walipa kodi, wakati umefika sasa serikali iachane na upuuzi huu.
ReplyDeleteMbona wakimbiza mwenge wanavaa nguo za kimbowe mbowe? Nadhani wangelibadilisha kuondoa fikra za itikadi za vyama vya siasa.
ReplyDelete