Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmshauri Kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo asubuhi.Katikati ni Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba.
JK akiongoza kikao cha halmashauri kuu ya CCm Taifa mjini Dodoma leo asubuhi.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Makamu wa CCM Bara Pius Msekwa na kulia nia katibu mkuu wa CCM Yusuf MakambaBaadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM
Taifa wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu Makamu wa CCM Zanzibar, Amani Karume, yuko wapi? Au ndiyo kasusa?

    ReplyDelete
  2. HAPA SEMENI WENYEWE WAZENJI WANANYONYWA AU WANAJINYONYA MBONA MEZA KUU SIMUONI MZENJII? NA KAMA KARUME KAGOMA JE HAKUNA WA CHINI YAKE? INA MAANA KAMA KARUME NDIO MZENJI MEZA KUU JE PEKE YAKE MBONA WENGINE WOTE WA BARA? AU HIKI NI CHA BARA?
    NDIO YALE MABALOZI KARIBU WOTE NJE WATU WA KUTOKA TANGANYIKA WAZIRI ANAULIZWA BUNGENI ANASEMA WAZANZIBARI HAWANA SIFA!!!

    ReplyDelete
  3. nimeona hilo bango lenu.Namsifu na ninamheshimu mwalimu nyerere kwa nguvu zote kuliko hawa viongozivi wetu waliofuata wote.sasa lazima mjue kuwa anaweza kutokewa mtu mwingine kama nyerere.alafu kwa nini hawa viongozi walipita wapo hapo.hiyo inwapa kichwa sana kuwa walifanya vitu vizuri.sasa lazima tuangalia na kuchuja alafu kiongozi aliye boronga .Hasiitwe hapo kwenye huyo mkutanao .
    mdau USA

    ReplyDelete
  4. We Anony wa pili, Mwinyi nae ni wa bara?

    ReplyDelete
  5. kwani mwinyi anatoka wapi? we kweli hujui viongozi wako au kwa kuwa alikua rais wa zanzibar? hebu uliza kabla hujatoa hoja

    ReplyDelete
  6. who cares where Mwinyi is from? He lost his legacy and let Mafisadi to run our country. Do you remember Mwalimu used to be? Now its too late for him to act anymore.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...