Taifa wakiwa katika kikao leo mjini Dodoma.
Home
Unlabelled
kikao cha halmashauri kuu ya taifa ya CCM leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Makamu wa CCM Zanzibar, Amani Karume, yuko wapi? Au ndiyo kasusa?
ReplyDeleteHAPA SEMENI WENYEWE WAZENJI WANANYONYWA AU WANAJINYONYA MBONA MEZA KUU SIMUONI MZENJII? NA KAMA KARUME KAGOMA JE HAKUNA WA CHINI YAKE? INA MAANA KAMA KARUME NDIO MZENJI MEZA KUU JE PEKE YAKE MBONA WENGINE WOTE WA BARA? AU HIKI NI CHA BARA?
ReplyDeleteNDIO YALE MABALOZI KARIBU WOTE NJE WATU WA KUTOKA TANGANYIKA WAZIRI ANAULIZWA BUNGENI ANASEMA WAZANZIBARI HAWANA SIFA!!!
nimeona hilo bango lenu.Namsifu na ninamheshimu mwalimu nyerere kwa nguvu zote kuliko hawa viongozivi wetu waliofuata wote.sasa lazima mjue kuwa anaweza kutokewa mtu mwingine kama nyerere.alafu kwa nini hawa viongozi walipita wapo hapo.hiyo inwapa kichwa sana kuwa walifanya vitu vizuri.sasa lazima tuangalia na kuchuja alafu kiongozi aliye boronga .Hasiitwe hapo kwenye huyo mkutanao .
ReplyDeletemdau USA
We Anony wa pili, Mwinyi nae ni wa bara?
ReplyDeletekwani mwinyi anatoka wapi? we kweli hujui viongozi wako au kwa kuwa alikua rais wa zanzibar? hebu uliza kabla hujatoa hoja
ReplyDeletewho cares where Mwinyi is from? He lost his legacy and let Mafisadi to run our country. Do you remember Mwalimu used to be? Now its too late for him to act anymore.
ReplyDelete