

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wewe Matola na Amri acheni uzembe, mmeacha kucheza mpira juzi tu sasa mmeshaota vitambi? Embu jiwekani fit bwana, fanyeni mazoezi na kula diet kama wachezaji wenu. Hii itawasaidia kujenga afya zenu na kufurahia zaidi maisha yenu.
ReplyDeleteNi vizuri pia kuona wachezaji wa zamani wanachukua mkoba wa kuendeleleza vipaji vya wachezaji wa sasa. Hapo nawapa hongera.
shua, wanapendeza sana nafikiri waendelee hivohivo wawe mfano kwa wenzao na wengine tujifunze toka kwao.
ReplyDeleteYah,inawezekana ila tatizo la huku Bongo ni joto sana,kwa hiyo kuvaa hivyo wakati wa mechi inatesa sana.Tusige kila kitu ligi ya Ulaya inaanza Agosti(Joto linapoanza kupungua na kuendelea hadi mei kabla ya joto(summer) kuanza).
ReplyDeleteWao Ulaya wanachofanya ni kuepuka joto.Kwa hiyo kwa wenzetu inawezekana.
Kwa hakika wamependeza sana.
ReplyDeleteKuiga mavazi ya Nje si Ndio Kuwa Smart. Hata wangekuja na Vazi la Kimasai ni Smart tu.
ReplyDeleteKwa kweli watanzania wote ukiondoa mababu wa zamani, kama kuna kitu hatujui na hatujali ni mavazi, hasa wanaume. Hatuko sensitive na matukio, mahali tulipo, na muda vitu ambavyo vinachangia saana maamuzi ya mavazi ya kuvaa. Unakuta kwenye harusi mtu kavaa T-shirt! Kanisani mtu kavaa track suit.., mkutano wa high level mtu kavaa casual, wachezaji wengi nikionana nao mtaani muda si wa mazoezi bado unakuta wameng'ang'ania mabukta na mashati ya mpira. No wonder makocha wetu hawajifunzi kupiga pamba kama hivyo uwanjani. Au ni kwa sababu hawaitwi mameneja kama kwa wenzetu? Meneja utavaaje track suit au kaptula ofisini!!?? Wabongo tuache ushamba. Labda tungekuwa na vazi la kitaifa ingeeleweka.
ReplyDeleteBongo joto kaali halafu hauna usafiri unaishia kwenye daladala sasa suti wapi na wapi.
ReplyDeleteannon Tue Aug 10, 01:11:00 PM
ReplyDeleteilo nalo neno kwakweli,maana mie sielewi kabisa wanaume mnanovaaga!
mweee
Mimi wala sifagilii watu wanaosema wabongo hatujui kuvaa. Nimekaa huku zaidi ya miaka 16 na nimebahatika kutembelea nchi kadhaa na ninakwambia kama hujui kitu kaa kimya...Sio vyote ni kweli vinavyoonekana kwenye TV...Hata huku watu wanavaa vitu vya ajabu sana tu na kuna watu. Mimi naona as long whatever you put on is clean and you are comfortable go for it. Kama sherehe haijaweka dress code kwanini mtu uende umevaa vitu ambavyo hauko comfortable na wakati nyingine unaweza kuwa overdress. Kama sherehe imeagiza watu wavae business attire halafu mtu akaja casual hapo ndio nitashangaa. Umeshaenda harusi za summer huku??? Wageni wamevaa flip flaps na vi sun dress halafu hapo utasema hawajui kuvaa????
ReplyDelete