Fid Q kaja na libeneke baabkubwa. Anastahili sifa kuwa mmoja wa wasanii wa kwanza wa kizazi kipya kuwa na uchu wa maendeleo ya kupashana habari kwa njia ya mtandao. Libeneke lake linaenda kwa jina la www.cheusidawa.blogspot.com
Home
Unlabelled
libeneke la Fid Q
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
usipompenda ndugu yako utampenda mungu usiyemuona.
ReplyDeleteMwanza! mwanza! mwanza!
I luv the town despite of never been there before but I still call it home.Mimi msukuma niko safarini siku moja nitakuona Mwanza nunua nyumba na kuishi nawe milele. I LUV MWANZA CITY.
KEEP REP the city boi....
Kaka Hongera saana Kwa hatua ulopiga!! Ila sijui humo ndani ya globo itakuaje maana hapo juu naona full kujimilikisha!! Maloveeeeee
ReplyDeleteunaposema "Msanii wa kwanza wa kizazi kipya" ina maana kina Lady JD wao ni wa kizazi kipi?nadhani Lady JD,Nakaaya Sumari na wengine kadhaa walishaanza mambo hayo kabla ya huyu.anyways,ni mtazamo wangu tu.
ReplyDeletehongera Fiq!!!!!!!!!!!
Soma post vizuri kabla ya kukurupuka kucriticise. Mithupu kasema m1 wa wasanii wa kwanza na si kwamba yeye ndio wa kwanza kabisa ktk mpango mzima wa libeneke
ReplyDelete