Home
Unlabelled
MKUTANO MKUU WA CHADEMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuh hapo hakuna ushindi. Inaelekea wote ni wababaishaji tu.
ReplyDeleteMtoa maon wa kwanza wewe ulitaka kupambwe kwa kodi zako, uone maputo, vinywaj waimba ngonjera ndio roho yako iridhike.. utakufa hivyohivyo ukitizama watu wanavyojineemesha na jasho lako
ReplyDeleteHiz nyingine ni dharau, yaan wameamua kuwaita kabisa wajifunze haki inavyotendeka, kweli kizur kula na ndugu yako
ReplyDeleteMtoa maoni wa pili,
ReplyDeleteUmesikiliza speech za Dr Salaa, Freeman na mgombea mwenza? Ndo maana nimesema wote ni wababaishaji tu. Bora JK aendelee kupeta. Yaani bora hata Mzee Rhuksa arudi from retirement kuliko Dr. Salaa & Co. kuchukua nchi.
Safi sana chadema,,jamani nyie mnaotoa maoni ya kuiponda Chadema hebu fikirieni jinsi mnavonyimwa haki na hiyo ccm.amkeni,badilisheni uongozi watanzania,jaribuni chadema this time
ReplyDeleteJamani. CHADEMA chama cha baba mkwe na mashemeji? Unamkuta baba amabye ni mbunge binti yake pia kapewa viti maalum. Unakuta baba huyo huyo barmaid wake kwenye bar yake alikuwa nyumba ndogo yake baadaye akanyang'anywa na mwanae. Halafu huyo barmaid akapewa viti maalum. Lo. Bora CCM mwe!!
ReplyDeleteJamani hawa watu hawajui kwamba Rwanda, ni pesa za misaada zinafanya kazi, ni kwa sababu nchi nyingi zilizoendela zilijisikia vibaya sana kwamba watu wengi wamekufa na hakuna aliyetowa msaada wakati huo sasa wanapay back, Na kwamba hizo pesa zilishatolewa na bahati nzuri kwamba Rais amezisimamia vizuri, lakini zikiisha tu shida itabaki palepale.Na kwa sasa kwa kuwa nchi nyingi uchumu siyo mzuri basi tutaona Rwanda mambo yanabadilika tu hiyo pesa ikiisha.
ReplyDeleteCV ya Dr Slaa
ReplyDeleteEDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993
TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]
Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973
Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969
Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960
EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991
POLITICAL EXPERIENCE
CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977