enzi za uhai wake
MSIBA WA MWANAFUNZI WA KITANZANIA ALGERIA
Uongozi wa jumuiya ya wanafunzi wa kitanzania wanaosoma nchini Algeria (ATSA), wanasikitika kutoa taarifa ya kifo cha mwanafunzi mwenzao ndugu Felix Matela, kilichotokea siku ya tarehe 05/08/2010 Jijini Algiers nchini Algeria .
Ndugu Felix alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Houari Boumediene (USTHB) Kilichopo jijini Algiers , Algeria . Alikuwa akiishi katika Hostel za chuo zinazotambulika kwa jina la CUB 3.
Uongozi unatoa shukrani za dhati kwa wizara ya elimu na ufundi na ubalozi wa Tanzania-Paris, Ufaransa kwa ushirikiano wao mkubwa katika kuhakikisha usafirishaji wa mwili wa marehemu kurudishwa nyumbani unakamilika pia uongozi unatoa shukrani kwa serikali ya Algeria kwa kujitolea kusafirisha mwili wa marehemu mpaka Tanzania.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa hivi karibuni mara tu taratibu za kusafirisha mwili wa marehemu zitakapo kamilika .
Tunawasihi familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehem.
Uongozi – ATSA.
00213551713920,
00213553271791
tz_students@yahoo.fr

rest in peace ma best friend,,,!we wl be missing u man kule kwenye mijengo yetu,,,
ReplyDeletejamani poleni sana, du! Mungu alinze roho ya marehemu mahali pema peponi.
ReplyDeleteJamani mbona hamjatuambia alikuwa anasumbuliwa na nini hasa.
Poleni wafiwa...and may God rest his sould in piece
ReplyDeleteIlikuaje???ni nini kilichompata mwenzetu....???
Man!!Rest in Peace!!,Du,Man I remember I met ya two dayz bfr what u did? Man Why didn't u tell me!! U were goin' to do that Stuff!,''QUE DIUE TE BENISSE!!n' Rest ya in PEACE!,I'll alwayz remember ya!!
ReplyDeleteEh RIP matela jamani lini analetwa huku ili tuweze kuhudhuria mazishi yake?
ReplyDeletemay his beloved soul rest in peace; Amen
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletehebu tuambie nini kilichomuua huyu jamaa. i wont to know..... Nini kimemuua. i was been in Algeria past nine years ago. Naomba ututaarifu the course of his death... mtu huwezi kufa with no reasons
Wananchi, inabido samtaimz tukubali matokeo tu. Haitageuza ukweli iwapo tutaanika sababu za kifo katika mabulogu, hata kama uliwahi kuwa Algeria miaka iliyopita!
ReplyDeleteMuhimu ni kumuombea marehemu apunguziwe adhabu za umauti, basi.
Mdau, El Djazair - El Djazairia
MUNGU amlaze maala pema peponi, tulikuwa pamoja O'level KOLILA HIGH SCHOOL
ReplyDeleterest in peace
ReplyDeleteinna lillah wa inna ilaih rajiuun!
ReplyDeletendugu yangu Felix nitakumiss daima, tulisaidiana mengi sana tukiwa pamoja pale Blida tukisoma kifaransa... inauma sana kuona umetutoka kwa njia hiyo!
jamani wadau wote tuliopo Algeria tusichoke kumuombea dua mwenzetu, na tusipende sana kumjudge.. tukumbuke kuwa sote ni wa mungu na kwake sote tutarejea!
mdau,
Algiers, ALGERIA.