Picha toka libeneke la Mh. Zitto Kabwe
Home
Unlabelled
libeneke la zitto kabwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zitto anaongea maoni juu ya maendeleo ya Watanzania wote, siyo maendeleo ya wachache. Tanzania ni ya wote. "We are one people". Tanznia leo na kesho itaongozwa na viongozi wanaona mbali. Chaguwa kiongozi wa maendeleo ya wote.
ReplyDeleteKila la kheri kaka, mkoa wetu ulisahaulika sana, na nakupongeza sana, kwa juhudi zako, sasa barabara ya rami imefika hadi nyumbani kwetu sina shida tena ya usafiri.
ReplyDeleteKilichobaki ni kupigania barabara ya rami kigoma tabora, manake nchi hii ni kama haijari mkoa wa kigoma.
Ni jimboni kwako tu kwenye barabara ya rami ndefu huku majimbo ya kasulu na Kibondo wakiwa hawana rami tangu nchi ipate uhuru wakati miaka yote wanapeleka wabunge kuwakilishwa. Shame to them.
Ila kaka, sina hakika sana, na huyo aliyewahi kuwa waziri vipindi tofauti aliyejiunga na chama chenu huko KGM kama ana msaada wa kweli, Kama ana MSAADA aseme hadharani ni kitu Gani alichosaidia hata jimboni kwake cha maendeleo katika vipindi vyote alivyoshika nyazifa za uwazili- ATAWALOSTISHA.