Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duuh hapo hakuna ushindi. Inaelekea wote ni wababaishaji tu.

    ReplyDelete
  2. Mtoa maon wa kwanza wewe ulitaka kupambwe kwa kodi zako, uone maputo, vinywaj waimba ngonjera ndio roho yako iridhike.. utakufa hivyohivyo ukitizama watu wanavyojineemesha na jasho lako

    ReplyDelete
  3. Hiz nyingine ni dharau, yaan wameamua kuwaita kabisa wajifunze haki inavyotendeka, kweli kizur kula na ndugu yako

    ReplyDelete
  4. Mtoa maoni wa pili,
    Umesikiliza speech za Dr Salaa, Freeman na mgombea mwenza? Ndo maana nimesema wote ni wababaishaji tu. Bora JK aendelee kupeta. Yaani bora hata Mzee Rhuksa arudi from retirement kuliko Dr. Salaa & Co. kuchukua nchi.

    ReplyDelete
  5. Safi sana chadema,,jamani nyie mnaotoa maoni ya kuiponda Chadema hebu fikirieni jinsi mnavonyimwa haki na hiyo ccm.amkeni,badilisheni uongozi watanzania,jaribuni chadema this time

    ReplyDelete
  6. Jamani. CHADEMA chama cha baba mkwe na mashemeji? Unamkuta baba amabye ni mbunge binti yake pia kapewa viti maalum. Unakuta baba huyo huyo barmaid wake kwenye bar yake alikuwa nyumba ndogo yake baadaye akanyang'anywa na mwanae. Halafu huyo barmaid akapewa viti maalum. Lo. Bora CCM mwe!!

    ReplyDelete
  7. Jamani hawa watu hawajui kwamba Rwanda, ni pesa za misaada zinafanya kazi, ni kwa sababu nchi nyingi zilizoendela zilijisikia vibaya sana kwamba watu wengi wamekufa na hakuna aliyetowa msaada wakati huo sasa wanapay back, Na kwamba hizo pesa zilishatolewa na bahati nzuri kwamba Rais amezisimamia vizuri, lakini zikiisha tu shida itabaki palepale.Na kwa sasa kwa kuwa nchi nyingi uchumu siyo mzuri basi tutaona Rwanda mambo yanabadilika tu hiyo pesa ikiisha.

    ReplyDelete
  8. CV ya Dr Slaa

    EDUCATION
    International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

    TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

    St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

    St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

    Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
    Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

    Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
    Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

    Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
    Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
    Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

    EMPLOYMENT HISTORY
    Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
    Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
    Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
    Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
    Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
    Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

    POLITICAL EXPERIENCE

    CHADEMA Principal Secretary 2002
    CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
    CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
    CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
    Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
    TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...