

Mashauzi alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuwafanya wahudhuria wasiweze kutulia na hasa kina mama.Mashauzi alielezea furaha yake kubwa jinsi watanzania wa ugiriki wanavyoshikamana na aliwaomba waendeleze moyo huo ."Najihisi kama nipo nyumbani kwa jinsi nilivyowakuta ndugu zangu mnavyoishi kwa maelewano kiasi hiki.Sikuwa najua kama mpo wengi na mna ushirikiano namna hii ' Alisema akiwa jukwaani kabla hajaanza kufanya vitu vyake na kushangiliwa na kupigiwa makofi na umati wa watu waliofurika katika ukumbi huo.
Kabla Mashauzi hajapanda jukwaani kikundi kipya cha watoto wetu KASSIM, MLOSI,FEYSAL,SELE na RUMINA (kilichozinduliwa hivi karibuni na Meneja ALI NYAU ) kilitumbuiza na kushangiliwa. Bofya hapa kwa picha za ziada
Yah, dunia sasa imerudi kwenye muhimili wake...hapatoshi!
ReplyDeleteHivi huko ugiriki sasa kuna watu wengi namna hii?Naona kina dada ni wengi na wanapendeza mno . Enzi zetu hapa kulikuwa na meli tu na mabaharia wa kumwaga. Mungu awabariki na mzidi kuleta waimbaji na hata kama mnataka mimi nitawaleteeni Dogo Mfaume XMAS !!
ReplyDeletecan somebody say cleavage.
ReplyDeletehao wanawake ndio ma baharia wenyewe siku hizi ugiriki.
ReplyDeletewajemeni kumbe wanawake watanzania wakoge wengi hivyo ugiriki, Ndo maana sisi wengine hatupati wachumba huku Amerika.
ReplyDeletevijisichana virivyoko huku vinaringa kama nini,MMWEE!!!!
Huyu jamaa aliesema CAN SOMEBODY SAY CLEAVAGE anakusudia nini hasa?
ReplyDeleteongera sana ugiriki kwa kuwa na wachumba wazuri kama jinsi ninavowaona hapo pichani!!!! big up.... vipi lakini hapo umangani mmanga anatoa karatasi au??????
ReplyDeletelabda kwanza utafute maana ya cleavage halafu angalia tena picha zote.
ReplyDeletewamanga karatasi HAWATOI.... ni usumbufu tu kuishi kule na hao wanawake ni wakubwa sana sio watoto naona kwenye miaka ya 35
ReplyDeleteCleavage ! hivi sidiria hakuna au mamabo ya kutegana?..... wanawake kweli ni mthani!!!
ReplyDeleteha ha ha! he he he! sidiria bei mbaya wanunulie
ReplyDelete